Mtoa mada yan wewe ni pompopooooo wa mwisho kabisa chafua unavyo weza ila huwezi kabisa badili imani ya mtu hata sikumoja, unawaya waya tuuu kama umekula maharage ya wap sijui. Wewe ni msukule, au mganga, au mchawi ndomana unamchafua Gwajima kwakuwa misukule yako ukiwemo na wewe hujijui kama...
Hiv wewe uko hai na unatangaziwa umekufa ukishitukia ulienda ukiwa mzima umerud uko hoi kitandan alafu ukae kimya tuu kama sehemu uliyo enda ukidhan ni salama ukarud mgonjwa, na habari zinazo sambaa ni kuwa umefariki, kipi kinachoendelea je unajua wamejipanga vp, kukuua kwa njia gan, hata mim ni...
Wewe umeonalipi la mtoto mdogo. Kuvalishwa permpas, hujui unaweza uka wa mkubwa ki umri ila hujakua kihekima wala kukimawazo ukawa unaongea kama mtoto aliyevaa permpas
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.