Recent content by hazole1

  1. hazole1

    #COVID19 Vifo vya COVID19 vyafikia 5,102 nchini Kenya

    Huyu mzee alikuwa anadanganywa sana.
  2. hazole1

    Uchaguzi Zambia, chama tawala umesusia matokeo na kusema sio ya haki

    Ukitaka kushindana na adui inabidi utumie mbinu zinazo fanana na adui yako.
  3. hazole1

    Uchaguzi Mkuu Zambia: Mpinzani Hakainde Hichilema aongoza katika Majimbo 15

    Wazambia sio watu wa mchezo mchezo kama watanzania.
  4. hazole1

    Nini maana ya hakimiliki?

    Nashukuru nimefahamu kwamba hakimiliki nayo inamuda.
  5. hazole1

    UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Mtu anayekufa kwaajili ya kazi mm huwa namuhesabu kama shujaa.
  6. hazole1

    Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

    Ndio yaleyale ya kurusha bomu mochwali na kujisifia mmeua. Ccm acheni utabata fanyeni siasa za heshima.
  7. hazole1

    Kipigo

    hao viongizi walishindwa kusoma wakati. na hiyo hata bongo lazima ije itokee.
  8. hazole1

    Naomba kuuliza. Ni upi umri sahihi wa mtoto kuanza kung'oa meno?

    Kuna mtoto wa kike nilikuta nae maeneo flani hivi nikaona ameng'oa meno yote ya mbele. Na alikuwa kama anamiaka 6 ambaye ni sawa na umri wa mtoto wangu. na mm hapa kuhusu mtoto wangu hajang'oa jino hata moja nikahisi labda mtoto wangu meno yanaweza kuja kuanza kuoteana. na ukizingatia watoto...
  9. hazole1

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  10. hazole1

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Hiyo simu labda itakuwa iliibiwa na ndio maana wakaamua kubadilisha im n au hiyo simu huko ilikotoka itakuwa ilikuwa inasumbua kwahiyo walibadilisha saketi kwahiyo wakati fundi anaifunga alisahau kuweka vizuri waya za netwk. Kwahiyo kwanza mtafute fundi mzuri aifungue aziangalie waya za netwk...
  11. hazole1

    Nani amewaruhusu Waislamu kuanzisha Mahakama ya Kadhi mkoani Singida?

    Kama hizo mahakama za kadhi zipo toka enzi za mkoloni. sasa kwanini mlikuwa mnalilia muwe na mahakama za kadhi? Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  12. hazole1

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Umeitumia muda gani? Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  13. hazole1

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Hiyo simu ilinunua kwa mtu au dukani. Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Back
Top Bottom