Jamani tupange uzazi...tuzae watoto walau tunaoweza kuwapa shule na mahitaji ya msingi..mitaani watoto kibao tunafyatua tu bila kujali uwezo wetu.....mstakabali wa watoto hao nk.....tunasema eti kila mtoto kapangiwa na Mola......
Siku za mikutano ya UKAWA ndio umeme unakatwa, manake hata sehemu ambazo hazina grid ya taifa napo kunakuwa na matatizo ya umeme siku za mikutano hiyo. Jamani tufanye siasa nyingine na sio kugusu huduma za msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.