Kama ni Banana Chama ni maeneo ya Airport ambayo yanabomolewa ili kupisha eneo la airport, na watu wamelipwa juzi tu, ukitoa hela jua umepigwa au umenunua tofali
Anaeoa ni aziz, na anamuoa Mtanzania mwenzetu, tuwape baraka tu, ni jambo jema kwasababu katuheshimisha, vip kama angekuwa ndugu yako, ungeongea hayo..!?
Ndo maana kuna watu wengine huwa wanasema watanzania hatupendani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.