Siyapendi hayo majani aisee! Sidhani kama yanatatizo kiafya though!
Tembele, mchicha, majani ya maboga, kunde, maharage, mnafu, kisamvu na figiri hizo ndio mboga nizipendazo! Zipikwe kiasili saafi😋😋😋
Miaka minne ndani ya ofisi nikipigwa majungu balaa. Iliundwa kumbination ya wachaga ya kunitoa kwenye reli, wanafanya mashambulizi kwa kubadili formation tu dadadeki boss nae anabeba mazima mazima hivyo hivyo. Nilikua frustrated kwa ndani lakini nje najipiga kifua nisiwape credit!
Ikafika siku...
Tuachieni vipotabo wetu!
Pisi nyembamba, black au chocolate hivi, ipae kwa hewa, tunyama twa kiasi, na iwe na thigh gape, kasura kembamba hivi aisee acheni kabisa. Usumbufu unachangamsha akili, pisi inakua imepoa kila kitu ndio aaah haileti mzuka, inatakiwa ibishe ibishe kidogo ilete ukinzani...
Jamaa alikua kichwa Sana, mtu na nusu kwa lugha ya mtaa. Akili kubwa, halafu Yuko simple tu. Hana majivuno hata kidogo. Ana machapisho kibao ya kisayansi kwenye journals za kimataifa. Alijua kufundisha na kuinua wanyonge! Nimeumia sana. Lakini Mungu ndio anajua zaidi.
2 Wheel drive!
Inaweza kuwa Front 2 wheel drive au rear/hind two wheel drive. Yaani gari ina tairi mbili zenye nguvu, ama zinakua za mbele ama za nyuma.
Kwa gari zinazotumia tairi za mbele nguvu inayofika kwenye tairi ni kubwa kuliko ile inayofika kwa gari zinazotumia tairi za nyuma, kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.