Ni vizuri kujiridhisha kwanza kabla ya kutuhumu,,,, great thinker !
Mikataba yote miwili ilikuwepo tangu Kalemani, na tender zilitangazwa.
Kuhusu LNG tender ilitangazwa 2018 na mlipaji wa gharama za mkataba huo ni benki ya maendeleo ya Africa AFDB.
Habari zenu jukwaani,
Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya bomba la watts 80 AC lkn ina option ya DC.
So nataka kujua ninunue
-Panel ya watts ngapi?
-Battery...
Habari zenu jukwaani,
Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1-mafeni mawili ya solar
2-taa 8 za solar
3-Amplifier ya bomba la watts 80 AC lkn ina option ya DC.
So nataka kujua ninunue
-Panel ya watts ngapi?
-Battery...
Sina maana ya kuuunga mkono maudhui ya mada ila kuhusu suala la misaada tuweke rikodi sawa, kua:-
-Saudia ni moja nchi zinazochangia Bajeti ya SMT kwa miaka mingi sasa.
-Chuo kikuu "Zanzibar University" kimeanzishwa na kinaendeshwa na taasisi ya Saudia.
Vijana wengi wa visiwani, bara na...
Hii taarifa kama ni ya kweli na ya mwisho kwa Top 5 ya ccm!! Basi kinachotegemewa ni kua:
Mh.Magufuli kupeperusha bendera ya urais.
na muelekeo wa serikali ijayo ni km hivi:-
-Rais = Magufuli
-Makamo = Bilali
-PM = Membe, Sita, Mwakiembe, Migiro au Muhongo.
-Nchimbi, Mwingulu, Makamba =...
Ukweli ni kua:
Mh.Othman aliwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Smz kipindi kamati za BMK zinajadili vifungu, ila alikataliwa!.
-Ag anatetea na kulinda katiba ya znz kwa mujibu wa kiapo chake!.
-Haikuwa/haitokuwa sahihi kwa yeye kumshauri Rais wa znz kusaini katiba mpya ambayo inaizika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.