Recent content by hatentai

  1. hatentai

    Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

    Huku kwetu kilo ya mchele sh 600 sukari 400 unga wa ngano 500 sembe 200
  2. hatentai

    Waziri wa Israel Aonya: Tunaweza muua Asad Kama Wakiruhusu Iran Kushambulia Israel kutokea Syria

    Unajifurahisha sana israel alipata kipigo mpaka akaomba yapelekwe majeshi ili wamlinde hata wanamgambo kutoka tz wapo 300 tank za israel zilipingwa hua hawaonyeshi ukweli
  3. hatentai

    Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    Waolewe mara ngapi kila mmoja keshapitiwa na wanaume si chini ya 10
  4. hatentai

    Wananchi wengi sana wanaojitokeza katika ziara za Rais Dr Magufuli na kumshangilia zinatoa picha gani kiutawala

    Bora jiwe aweke kodi ya kichwa kama zamani kila mtu alipe ili tuisaidie serekali wapite kila nyumba
  5. hatentai

    Tetesi: Hakuna utata, binadamu wa kwanza alitokea Tanzania. Nakupenda sana Tanzania!!!!

    Kweli nakubaliana ninaadam wa lkwanza alifikia chato ni muhutu mwenye kichwa cha pembe
  6. hatentai

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Ni mauaji ya kutisha hayana tofauti na Bosnia ipo siku watajibu tu jiwe siroo mchemba wasione wamenyamaziwa unyama wanao ufanya serekali ya jiwe na makuadi wao watajibu
  7. hatentai

    Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

    Kiswahili chenu kipi wabongo au watanganyika kiswahili hamjui kabisa
  8. hatentai

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Na tundu lissu alijipiga risai ben saanane alijiteka roma mkatolikipia alijiteka
  9. hatentai

    Kwa ufanisi utendaji Serikali awamu ya tano, tufanye hili kuongeza mapato ya miradi maendeleo

    Kuwakataza watanzania wasile mlo uwe mmoja tu tutakua na pesa nyingi
  10. hatentai

    Tena ili Muungano udumu inabidi Zanzibar iwe mkoa ili kelele ziishe tuwe na nchi moja

    Hahaha nani anae taka muungano kama si wabara wanajua ukivunjika zanzibar hamtowafikia kwa kila kitu mtawaleta dada zenu Zanzibar kuja kufua chupi na kazi za ndani tu
  11. hatentai

    Wakili wa kujitegemea, Awadh A. Said Zanzibar atoa ufafanuzi wa kauli ya Prof Kabudi kuhusu mamlaka ya JMT kwa Zanzibar

    Sasa huoni na wala husikii wataulinda muungano kwa harama yoyote wanajua wanacho kisema wanzanzibar hawautaki muungano watanganyika ndio wanao utaka wanajua siku ukivunjika tu hamuwapati tena
  12. hatentai

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Kweli inaonekana kazi nzuri anayo fanya ni bora akae miaka 30 tuzidi kuona maendeleo aongezewe muda ili tufaidi maendeleo 7 haitoshi ni midogo
  13. hatentai

    TANZIA: Mwanamke aliyejenga Misikiti 300 Afrika ukiwemo wa Kichangani Magomeni afariki dunia Abu Dhabi

    Inna lillah waina irjuin Allah ampe kauli thabiti na amrehemu
  14. hatentai

    Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Hayo yote yashapita kwani wewe umetembea na wangapi hilo lisikutishe endelea nae ni bora yeye kakwambia ukweli atatulia kuliko hiyo alotembea na mmoja baadae atatembea na mia moja haipaswi kuangalia ya nyuma angalia ulipo
  15. hatentai

    Siri ya viongozi walio chini ya Rais Magufuli kutoshirikisha waTanzania kuhusu Master Plan ya miji wa Dodoma

    Mimi napenda magufuli aongezewe miaka kumi saba ni midogo sana
Back
Top Bottom