Shamba lipo njia ya mlandizi kutokea bagamoyo sehemu inaitwa miswe..
Eneo lipo katibuni na barabara .
Zipo ekari tano kila ekari moja bei ni mil6 tu..
Uwezekano wa kupata zaidi upo pia..
Karibuni
KITUO KIPO NJIA YA MLANDIZI KUTOKEA BAGAMOYO BARABARA IPO KATIKA HARAKATI ZA KUTIWA LAMI..BARABARA HIYO YOTE HAINA HUDUMA HIYO YA MAFUTA TAKRIBANI KM30..KITUO KIMEKAMILIKA KWA TAKRIBANI ASILIMIA 85 UKITAKA PUMP NAZO ZIPO BADO KUFUNGWA TU..
BEI NI RAHISI TU.. MIL 220..
WAHI UWEKEZAJI WA KUDUMU...
NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI..
KIPO TUNGUU ZNZ KARIBU NA CHUO KIKUU, KIPO KATIKA MASTER CITY PLAN YA SERIKALI
MJI UMESHAJENGEKA VIZURI SANA KWA NYUMBA ZA KISASA..
BEI NI MIL 18 TU..
TRACTOR NA COMBINE HARVESTER MACHINE INAUNZWA
HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.MIL34 TSH
tractor zipo katika hali nzuri MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 18.5 tsh
FORD 4000 bei ni milion 16.5 tsh.
Mashine ipo MBWENI Daresalaam.
BEI NI MIL..34 TSH...
TRACTOR NA HARVESTER MACHINE INAUNZWA
HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.MIL34 TSH
tractor zipo katika hali nzuri MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5 tsh
FORD 4000 bei ni milion 17.5 tsh.
Mashine ipo MBWENI Daresalaam.
BEI NI MIL..34 TSH.
tuwasiliane...
Mkuu wazo zuri sana Sema linahitaji mtaji mkumbwa kidogo.. Kama upo tayari tukae Chini tuone tunaweza shirikiana vp.. Nina mtu anafanya hiyo biasha naamini anaweza akatusaidia..
MASSEY FARGUSON COMBINE HARVESTER INAUNZWA
COMBINE HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.
Kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania, kama wewe ni makuli isikupite hii..
Mashine ipo MBWENI Daresalaam.
BEI NI MIL..34 TSH.
tuwasiliane 0714242879 ..0713676035
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.