Harvester inauzwa

hassara

Member
Jan 27, 2016
47
3
MASSEY FARGUSON COMBINE HARVESTER INAUNZWA
COMBINE HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.
Kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania, kama wewe ni makuli isikupite hii..
Mashine ipo MBWENI Daresalaam.
BEI NI MIL..34 TSH.
tuwasiliane 0714242879 ..0713676035
 

Attachments

  • IMG-20150813-WA0007[1].jpg
    IMG-20150813-WA0007[1].jpg
    204 KB · Views: 36
  • IMG-20150813-WA0008.jpg
    IMG-20150813-WA0008.jpg
    199.6 KB · Views: 33
  • IMG-20150813-WA0009.jpg
    IMG-20150813-WA0009.jpg
    196.7 KB · Views: 35
Ni kwa ajiri ya kuvunia nini? Mihogo? Magimbi? Karanga? Maembe? Korosho? Mapapai? Nazi au nini?
 
kuvunia nafaka mkuu..mpunga.ngano.maharage nk..nafaka vyingi tuu,, karibuni
 
Back
Top Bottom