Sio mmepuuzwa kuletewa mtu mdogo kama Gadafi? Kuweni wawazi wakati mwengine. Ccm haina kiumbe inae Muogopa na kama ingekuwa inaogopa ingeogopa kumlima Lowasa. Hawakubahatisha walimfanyia makusudi. Hata Gadafi alitumwa kwa waandishi wa Lowasa makusudi. Nani asiyejua kuwa Lowasa wanaendelea na...
Dc Tanga ni Jembe la uhakika. RC tatizo mzigo, Dc Muheza,Lushoto,Mkinga,Pangani miroroso tuu. Msitegemee Tanga ya viwango. Tanga kila kitu kipo na kilipangwa ila wasimamizi wakuu ndio tatizo na wameishusha hadhi. Mbali na kufyagia na kutoza faini asiyefagia kila Jumamosi sh 50000 lkn jiji...
Clouds tv? We sikiliza na redio yao. Serikali yetu ipo kisiasa sana na kifupi imekuwa ya kiwogawoga. Waache na utawala wakujuana juana na kupeanapeana. Duuuuu majanga.
Ndio maana tulitawaliwa kwa kupenda kukejeli na kuto kufanya kazi. Imani hamna kwa kutamani Kutawala. Siwapediii. Ugua pole Mh Mbunge Mungu hayupo pamoja na watakaokuombea mabaya. Ipo siku wataelewa somo.
Ni sumu akili za watanzania sasa zikiwaona mtu mtu kama Lema kuwa heti ni ukombozi wao. Kuna tatizo la msingi sana ktk nchi kwa hali kama hii ya kuwaamini watu kama Mr ..........
Ukiwa mfinyu wa fikra huwa na macho yako pia hayaoni vizuri. Nimependa sana majibu ya mkuu wa usalama barabarani ni lazima watu wafuate sheria hata kama.... Lema alikuwa anajua anachokifanya pale aliasisi tukio. Itasikitisha sana kuiona Tanzania inavunjika amani kwa matakwa ya Waendesha bodaboda...
Kifupi nakerwa na namna wa bongo wanavyoyachukulia mambo. Sijui lipi bora afanye Mh Nyarando. Ndio maana hawa viongozi hawajali wala kuogopa lolote kwakua wanajua aina ya fikra za Wabongo wachache wapenda kuchalenge vitu bila kuta fakari ili kujiona wamesema tuu na akili zimekalia kila kiongozi...
Nawashauri Watanzania mtazameni kijana mdogo na muadilifu, Dustan Lukas Kitandula Mbunge wa Mkinga Tanga angefaa sana sana na Jakaya hapaswi kusita. Achaneni na mazowea ya majina
Kila siku ananyaraka atazito atazitoa,kwani Sababu ya kuzitafuta ni nini? Usituchanganye we mzee. Zitoe hizo siri tunakuruhusu. Na usipozitoa tafuta kikundi cha Comedy ingia mzee utatoka tuu.
Siamini kama kutibiwa nje ya nchi ndio sura ya ujinga ama kipimo cha utawala wa CCM au viongozi wake. Kuweni na roho za kibinadamu na tusiwe wavivu wakufikiri na kuwa wepesi sana wakulaumu. Sidhani kama kati yetu hajui roho na tabia za aina ya wauguzi wetu Tanzania,wanakila kilakitu lkn mioyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.