umemaliza kila kitu mkuu,watu hawawajui hawa watu biashara iko damuni mwao,wana elim kubwa ya biashara,wana nidham kali sana na inasupportiwa na imani zao,wana ushirikiano mkali sana wa utake usitake wana connection kubwa na wako well informed on how world economy goes.wahindi hawana family...
Hizi ndo shule za kukariri theories, soko huria haimaanishi serikali haiwezi kuweka regulations na laws.Kiwanda hichohicho na mfanyakazi huyohuyo na anayefanya kazi hiyohiyo akiwa nchi za ulaya analipwa vizuri sana.Ni kwa sababu serikali zao haziwezi kuruhusu mwekezaji anyonye raia wao.
Na ishu...
Kutapeli au kudhulum ni tabia mbaya tu inaweza fanywa na yeyote regardless na gender yake.kwan mpaka umri uliofikia hujawahi ona wanaume wanatapeli au kudhulum watu?
Sometimes tabia za makabila huchangiwa na uoto asili,hali ya hewa na hata upatikanaji wa resources wanapotoka kwa mfano unaweza sema wapare ni wabahili na wachoyo ila ukienda makwao utagundua kuna ukame mkali so chochote mtu akikipata anakishikilia inakuwa asili yao tofauti na wanyakyusa.
Experience ni mwalim mzuri sana,unaweza kukimbia speed kumbe hata njia hauijui.Only fools do the same thing daily and expect the different result.Kasome tena maana ya hatari,stupid!
Ili vuguvugu la kisiasa lilikuwa zaidi ya hivi 2010 kipindi cha kikwete vs Dr Slaa,na lilikuwa zito zaidi 2015 Jiwe vs Edward na bado CCM waliteleza tu.Vyombo vya dola havihitaji kuhongwa mishahara mikubwa kufuata amri za walio madarakani na vyombo vya dola haviruhusiwi kugoma kisheria labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.