Recent content by hassan001

  1. hassan001

    JamiiForums Tanzania Hii idea yangu ya biashara ya Bajaji za Umeme mnaionaje?

    Ulitak niwekee nn.... Ili yasiwe manen matup
  2. hassan001

    JamiiForums Tanzania Hii idea yangu ya biashara ya Bajaji za Umeme mnaionaje?

    Habar za Leo Wana forum Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu zitafuatwa 1.Dereva atatakiwa kuripot kazIn saa moja au mbili...
  3. hassan001

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji ma uuzaji wa dubwi, bonanza, slot mashine

    bei huwa inaanza laki saba na kuendelea inategmea na aina ya game unyotakan
  4. hassan001

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji ma uuzaji wa dubwi, bonanza, slot mashine

    Habari wakubwa.... Leo nimeona niwashirikishe juu ya wazo langu hili la kutengeneza madubwi(slot mashine) na kuyauza Game za dubwi huwa naweza kuzitengenza kuanzia mwanzo mpk mwisho (proggramminging,assembling mpk finishing) mpaka sasa nimepata oda nne na zote nimezitengenezea bila ya...
  5. hassan001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

    Leta mchoro wako tuone connection Kisha kisha angalia voltage na current znazotok kwamaan kweny generator yeyot angalia rpm inahusiano vltage
  6. hassan001

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa magari msaada

    mm siyo fundi wa magari Ila naweza kukupa some algorithms kwanza . Taa huwa znawaka kwa intensity tofauti kwa njia mbili eidha uongeze current flow au upunguze current flow na njia ya pili ni kwa kutumia pulse modulation. 2. Njia ya pili ni best(pulse) na ndio nadhan magar kwa technologia yake...
  7. hassan001

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa biashara ya umiliki wa bodaboda

    Hata mimi mkuu nahitaji kufanya biashara kama hiyo
Back
Top Bottom