Utengenezaji ma uuzaji wa dubwi, bonanza, slot mashine

Utengenezaji ma uuzaji wa dubwi, bonanza, slot mashine

hassan001

Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
8
Reaction score
14
Habari wakubwa....

Leo nimeona niwashirikishe juu ya wazo langu hili la kutengeneza madubwi(slot mashine) na kuyauza

Game za dubwi huwa naweza kuzitengenza kuanzia mwanzo mpk mwisho (proggramminging,assembling mpk finishing) mpaka sasa nimepata oda nne na zote nimezitengenezea bila ya changamoto yeyote ya kiufundi hivyo basi nataka hiki kitu kiwe legally, na pia nitumie techniqe gani kupata wateja kwa mwezi niweze kupata hata oda 20...

Mrejesho wenu , ushauri wenu maononi yenu ni muhimu san kwangu
#####hans_tech001
 

Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom