Recent content by Hassan r shaban

  1. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    makubwa haya!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    hatutarajii kipya!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Hali ya amani katika mji wa masasi na vitongoji vyake si shwari kwa siku ya leo. kulianza na maandamano ya waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakipinga unyanyasasi wa unaofanywa dhidi yao na askari polisi. maadaya ya kuzunguka katika barabara zote kubwa za mjini hapa,waandamanaji waliokua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania 'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    wapo wengi 2!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    hiyo case ni ndogo sana,c kama wale wanaotumia vyeti vya wahimu wengine.kwa kuwa alifaulu kwa akili zake mwenyewe,jina halisaidii chochote,hata we unaweza kubidili jina lako hata sasa!
  6. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    P.i.p sajuki!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    pole xna,mungu akuponye upesi!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    vita inainyemelea tanzania!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    wa kuchukuliwa hatua ni hao wanasiasa waliopiganae picha. hata kama hatakua ni mwanajeshi kweli lakni inaleta picha mbaya kwa jeshi letu, kwani inaweza kuligawa jeshi latu kisiasa na hivo kupelekea kutokea yale yanayoendelea kwa majirani zetu. naamini lema na nasasari wanajua kua askari...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    migogoro yenu ni mtaji kwa wapinzani wenu wa kisiasa,mcpoangalia mtawarudisha wafuasi wenu wengi kulekule walikotoka.ta2eni migogoro yenu kwa amani,otherwise 2015 mtachakazwa vbya xna.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    ndo vyombo 2livyonavyo hapa kwe2,vingi havipo neutral!
Back
Top Bottom