Recent content by Hassan Maswaga

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kifo cha diwani Lwena: Rais Magufuli aagiza kamati ya ulinzi kusaka wahusika

    Tumefika mahari pabaya tena Sana tu...!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Peter Lijuakali: Ilitakiwa kuuliwa mimi walivyonikosa wakamwendea Diwani aliyewashinda kesi nyingi nami niko njiani

    Hata km ungeliupata ulimwengu wote naamini moyo wako hautaridhika! Njia mnazotumia hazitowafikisha popote, lkn Mkiendelea mwisho ama hatma ya taifa itakuwa mbaya namajuto yake huwa ni makubwa sana?!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania juu ya uchaguzi ni ugaidi wa kisiasa natoa rai kwa upinzani

    Tunisia ilianza HV hv hatimaye ikasambaa nchi za kiarabu tunaomba heri itawale Shari...!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Kiungwana natarajia waziri wa mambo ya ndani ataomba radhi ktk hili I japokuwa cjui watalichulia vp Kama serikali!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Ulilume kamonga..! Dah kw istillahi ya lugha to nakuheshimu!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tundu Lissu asema ''sikati tamaa na watanzania''

    Naamini wanaona wanasikia labda wanafanya tafakuri..!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

    Mh haya we....! Yangu macho kusoma hatujui na picture nayoo...!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Kw maelezo ya let mutuz cfahamu na cjackia km wanamgogoro ijapokuwa tunatoka Kijiji kimoja lol ninahofia kw maelezo yake as if Kuna mtafaruku wa kifamilia japokuwa hatujawahi kuckia ama kuhisi I japokuwa yote aloyananena ni kweli tupu hakuna aloongeza ama kupunguza ingawa kuhusu masuala ya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Mbasha asema hatakaa aoe tena maishani... ataishi kama Yesu au Paulo

    Moyoni mwa mtu ni mbali...!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Ngh-ani zinji sitile nhumbulla..! Chevu nacho...,! Cjabarikiwa khs masuala binafsi ya familia..!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tulitegemea Sheikh wa Mkoa wa Dar awasemee Masheikh walio Korokoroni miaka zaidi ya 5 si kubishana na Mange, JamiiForums

    Ila Dada Mange Mungu anakuona unavyoshughulisha watu!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni aibu mwanaume kubadili dini kwaajili ya mwanamke!

    Thamani ya mapenzi ni kw yule apendwaye kw yule anayependa ni mateso.!
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama ashikiliwa kwa kosa la kumuonyesha mtoto wake sehehu zake za siri

    Mtoto wa kike wakiume.. !
  14. H

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Baada ya kejeli za wanachadema mitandaoni, Baby Kabaye atinga sare ya CCM studio!

    Hpja c sare za ccm hoja kw nini waionyesha kutokuridhishwa na wabunge waliojiuzuru na kugombea tena ni upumbavu usio na mfanowe ila haya yatakuja kuwagharimu baadaye!
Back
Top Bottom