johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hii nimeipenda sana, wakati mwingine kejeli hujibiwa kistaarabu kabisa. Karibu tuangalie kipindi, good morning!
Hahahaa....... bado hawajaamka!Waongeze povu sasa
Wewe una uwezo wa kumfundisha Ruge masuala ya masoko.Wasela ma.vi hao ., unajua wanaweza haribu biashara ya Ruge kwa ajili ya upumbavu. Kila mtu anaitikadi ila kwenye biashara kama hiyo unajidai kujificha ili usipoteze wateja wa aina fulani.
Hivi huyu Ruge hana wataalamu wa masoko anakubali huo usen.ge studio
Hivi wewe unaakili kila nguo ya kijani ni sare za ccm au tumia akili wewe acha kusambaza chuki baina ya watuHii nimeipenda sana, wakati mwingine kejeli hujibiwa kistaarabu kabisa. Karibu tuangalie kipindi, good morning!
Hata TBC enzi za Tido ilikuwa juu,sasa hv ni majanga tu!Wewe una uwezo wa kumfundisha Ruge masuala ya masoko.
Unadhani CLOUDS imefika hapo bila yeye kujua maana ya masoko na jinsi ya kuyapata?
Kuna baadhi ya watu mnashangaza sana.
Kama mgambo!Kesho anapiga ya chadema
Ulichokiandika ni ramli kama waganga wa kienyeji,Hata TBC enzi za Tido ilikuwa juu,sasa hv ni majanga tu!