Recent content by Hassan daudy

  1. Hassan daudy

    Opportunity for Startups/SMEs and Entrepreneurs to be financed.

    CFA (COMTAZ finance Africa LIMITED), we are the bridge between your project/business/ startup/Idea and finance, Never fail to reach your goals because of lack of capital or collateral. We are here to help your idea/project regardless all limitations. #finance #seedfund #africafinance...
  2. Hassan daudy

    East Africa

    Nicely presented!
  3. Hassan daudy

    Natafuta ajira Jamani nisaidieni

    Kama unataka cv yake c umwambie akutumie, au unataka tu kukosoa nonsense? Huna mpango wa kumpa kazi na si ajabu we mwenyewe unatafuta kazi alafu unaongea kama referee vile. Mnakera sana nyie watu
  4. Hassan daudy

    Kyocera FS-C5100DN A4 Colour Laser Printer

    NInauza printa USED , Bei 400,000TZS badala ya 900,000. iko kwenye hali nzuri, Wino umeisha,unaweza kurefill. 4 color printer. USB, Network 250 Sheet Input Tray PCL 6, PCL 5c, Postscript 3 (KPDL3), XPS - Direct printing, PDF direct print, Automatic Emulation Sensing 600 x 600 dpi Print Up to...
  5. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Hamas ina jeshi, Fatah ina jeshi. Hadi la wanamaji. Ila hamas(Sio fatah) wanatumia raia kuleta fujo kwa lengo la kuharibu fensi au ili hamas wapate nafasi ya kuteka wanajeshi wa israeli n.k raia wanaouliwa na Israeli kwenye matukio kama hayo sio vita mzee, ni matukio yanayotokea kila mahali...
  6. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    kwa sababu ubongo wako unasoma 0%..unakuaje mvivu hivo?
  7. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Jifunze kidogo kuhusu Urban Warfare na uangalie Moral Rank ya Israeli Urban warfare. Utajua kwann hawa jamaa Tech yao iko juu. kuwawezesha kuoperate kwenye mazingira kama hayo.Jiulize kwanini Warusi walipigwa KO na Taliban Afghanstan, vita vya mjini ni vita vigumu kuliko vyote. hapo ndo uwezo...
  8. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    hakuna anti missile system duniani inayoweza kuperfom kwa asilimia 90%. Iron Dome ilianza na performance ya asilimia 65% na ndo mana israeli wananufaika na hivo vi vita vidogo kwa maana wanapata nafasi ya kuboresha mifumo yao. ndo mana nchi nyingi za ulaya zinaomba kuuziwa iron dome. 90% sio...
  9. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Trophy System Delila Missile Spice Missile heron drone Jericho Missiles Iron Dome David Sling Katika hizo zote hakuna nchi imewahi kuprove its effectiveness in real combat kama Israel Jaribu kusoma kidogo kuhusu specs zake. utakuwa amaized. Na kama ulikua hujui kuhusu air dominance ni kwamba if...
  10. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Yani hata uzaliwe kwenye pango lazima uwe na upande mmoja wa kuamini...Vitabu vya mashariki ya kati vinatufundisha kuamnini upande mmoja , ila sio lazima vitabu kuamini upande flani. Hata jamii inaweza kukuanya ukaamini upande flani
  11. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Kama unafanya unachosema unafanya dini yako ni hiyo, Kuipa jina unaweza ukaipa unalotaka au kila siku ukabadilisha jina la dini yako, ila kama unaamini kwenye kufanya Mazuri..bado upo palepale sawa na kuandika Kiluga neno la English
  12. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Basi utakua unaamini sawa na hivyo vitabu...Huna haja ya kusema unaamini Kitabu fulani. Dini ni jinsi unavyoishi...Na wewe ni mfuata dini mzuri kama unafanya unachosema unafanya.
  13. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Imebaki historia, Amka sasa hivi uone waliokua juu wamakalishwa wote, na inavyoonekana bado sanaa
  14. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    S-700 haipo bado, ila waziri wa ulinzi wa Israeli aliongea hiyo statement kuwa, kama Syria watatungua ndege za kivita za israeli.. Israeli itazifuta air defence zote zilizohusika haijalishi ni s-300 au hata s-700 kama itakuwepo, ila watazifuta sasa kwa historia ambayo huijui Israeli imepigana...
  15. Hassan daudy

    Israeli strikes in Syria

    Kwani nani kakuambia shetani maana yake mbaya? Au nani kakuambia shetani adui/kinyume cha Mungu? Kitabu kilichokufanya umjue shetani kimesema alikua malaika wa Mungu kabla hajatupwa. Kwani wakati alipokua kwa Mungu, Kulikua na Shetani Mwingine adui wa Mungu? Mungu ndo kafanya Giza na Mwanga...
Back
Top Bottom