Kuna upendo tv, emmanuel tv, star tv na channel ten kuna matamasha mengi tu ya Injili, kwanini uumizwe na hiyo tamthilia? Ukitaka movies za kizungu zipo channels nyingi unaweza angalia. Acha chuki na dini ya watu.
Kuhusu maombi ndio tunamuomba sana Mwenyezi Mungu Ili atuondoshee haya maradhi.Kuondosha au kutoondosha ni utashi wake, na kama ataamua kuondosha basi hapangiwi na yoyote muda wa kuondosha huu ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quran21:35 " Kila nafsi itaonja umauti, na tunakujaribuni kwa mitihani ya shari na kheri, na kwetu sisi mtarejea"
Magonjwa kama Corona ni miongoni mwa mambo ya shari tuliyopatiwa walimwengu kama aya inavyoeleza hapo juu, ni katika majaribu ya Allah juu ya viumbe wake, anafanya atakalo juu ya...
Mleta mada ameongelea Taboa mjini na Shy mjini, ajabu watu wanaleta hbr za Kahama na Nzega mara Kishapu mara Igunga.
Tabora ipo vizuri kuliko Shy, maendeleo ni makubwa kwenye kila nyanja mfano miundombinu kama barabara zimeboreshwa sana, Tabora walipata udhamini wa World Bank wakatengenezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.