Recent content by Hashimu lwenje

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Mkuu hii mada haizungumzii uchumi wa mtu mmoja mmoja. Inazungumzia uchumi wa nchi mkuu. Mtoa mada hajawa mbinafsi wa kuzunguzia miradi ya watu binafsi. Nadhani amejikita kwenye uchumi wa taifa zima.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Na hiki ndio kinachofanya hata GDP yetu iendelee kuwa chini. No increase any more. Taifa limejaza wasomi wajinga what do you expect.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ngoja wadau wengine waje kuchangia
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Wapenda mipasho huu uzi hawaugusi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Bado ni pesa ndogo isingetosha nimekokotoa pale juu. Ni pesa ndogo sana hiyo Ukilinganisha na idadi ya watanzania.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    wewe unaongelea ujinga gani mkuu, acha kutukana watu, au nawewe unawaza kuuza ndege zetu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Ndugai hata unavyo zungumza tu unaonekana kuna kitu umepewa sio siri. Yaani hiyo presentation ndio ilikuchanga kweli.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    Report umeilewa vizuri au unakurupuka tu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Wangekuwa walishapata wasingekuwa wanalalama humu mitandaoni. Viumbe bado wanasugua gaga.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Anaonekana ana peruzi sana na kupitia comment za wandewa
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hii nafasi ya Mohamed Dewji huko Afrika Kusini ni kubwa sana

    Hizo mali za kurithi sijawai kuzi appreciate kivile, kitu LAIZER bhana, tafuta pesa yako.
  13. H

    JamiiForums Tanzania The U.S. should not use China as a reference for infrastructure construction

    WASHINGTON— US President Biden called on members of Congress on Wednesday (April 7) to approve his $2 trillion infrastructure plan. Biden said that China and other countries ran ahead of the United States in investing in the future, "trying to grasp the future." Last week, Biden mentioned China...
  14. H

    JamiiForums Tanzania UVCCM wanahangaika kuchanganya maji na mafuta, Haiwezekani!

    kuchanganya maji na mfuta inawezekana tunaongezea emulsifying agent baada ya hapo yanachanganyikana.
Back
Top Bottom