Recent content by Harvard Yale

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba unirudishie hela yangu kabla sijachukua maamuzi magumu

    Pole sana mkuu. I feel your pain. Naelewa kuzulumiwa kunavyouma. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

    Aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

    Sasa mkuu wewe hapo uliabika na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ananiamini lakini ana wasiwasi na aliujenga yeye maisha ya ndoa

    Pole sana mkuu. Naona hata usingizi umekata. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye Hii Movie Anisaidie

    Namaanisha sio kali kivile kama ambavyo watu wanaisifia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Pole sana mama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye Hii Movie Anisaidie

    I am watching Money Heist now...and boy it is overrated. Nothing to write home about... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

    Umenikumbusha mzee wangu. Tuliishi kota za wafanyakazi flani hivi. Siku ya siku naitwa napigiwa simu na washkaji njoo mchukue mzee wako ameleea mpk amezima kwny grocery ya mzee XY ambayo ipo humo humo kota na mmiliki ni baba wa mshkaji wetu mwingine. That old man of mine has done great things...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tupunguze marafiki feki...

    Nadhani unashindwa kutofautisha vitu vitatu. Kwanza ni kuwa na namba za simu, pili ni kuwa na mawasiliano na tatu ni kuwa na marafiki. Hivi ni vitu vitatu tofauti. Kuwa na namba za watu wengi sio shida kwa kuwa kila moja ni kwa sababu maalum umeipata na utaitumia au umeitumia. Haimaanishi ukiwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Mkuu inakusuta kivipi? Naomba nifafanulie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    Well, you have life ahead, all i can say. You'll be fine. Least from own experience. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    How old are you man? There's a reason I'm asking. Sio kwa ubaya. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom