Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

aisee
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaishi katika traditional society.
Ukitetea anything feminine unaonekana kama unaleta umagharibi au unatukana masculinity au una ajenda za kusambaza tabia chafu.

Tunaishi katika sadist society ambayo inafurahia shida za watu ili wajione superior. Tunaishi katika political era ambayo kudhalilisha watu ni part of life. Tunaishi pasipo kujali wala kutumia akili.
Hizo media zenyewe zimetekwa, hawana guts za kuonesha chochote ambacho kitaleta negative reaction ya jamii.
mimi pia bado sina influence ya kushindana na system iliyopo. I can't challenge it katika large scope so kwa nini nianzishe vita ambayo siwezi kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are very right bro,serikali ikipoteza muelekeo everything falls apart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sifanani nae hata kidogo, sisi wote tumefanana na mama yani ukimuona mama umetuona sisi.. Likija swala la watoto huwa lazima wamuulize mzee hawa ni wanao? jibu lake kubwa ni "sasa ni watoto wa ngedere au" kuonyesha kuwa amechukizwa Mungu ana mpango mkubwa sana anajua kila kifuatacho imagine tungefanana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera sn kwa namna unavoihandle situation ya mzee wako. Najua fedheha huwa kali zaidi pale inapokuja toka kwa mtu ambaye unatarajia akuhuheshimishe.

On the other hand, naweza kuona ni jinsi gani hili jambo limekufanya uwe wise hata kwa mambo mengine.

Trust me,hii inakuandaa vema kuwa mke na mama bora kwa familia yako soon. Kila jambo huja kwa sababu,who knows...labda hiyo imekuwa ni njia ya kukuandaa na kukuimarisha, keep it up princess ariana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera sn kwa namna unavoihandle situation ya mzee wako. Najua fedheha huwa kali zaidi pale inapokuja toka kwa mtu ambaye unatarajia akuhuheshimishe.

On the other hand, naweza kuona ni jinsi gani hili jambo limekufanya uwe wise hata kwa mambo mengine.

Trust me,hii inakuandaa vema kuwa mke na mama bora kwa familia yako soon. Kila jambo huja kwa sababu,who knows...labda hiyo imekuwa ni njia ya kukuandaa na kukuimarisha, keep it up princess ariana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio la kuniabisha ambalo sitakisahau ni pale nilipokuwa ninaishi kwa baba mdogo aliachana na mke wake baada ya wiki moja akavuta mwanamke mwingine ndani

Yaani ndani ya wiki moja tu dah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mkuu wewe hapo uliabika na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu yule pale alikuwa ni kama mzazi just imagine ndani ya wiki ile ni aibu kwa familia

Sema tu ndo vile now tunaishi kwa jamii ambayo morality ipo chini kila kitu tunaona sawa that ata wewe unaona ni kitu cha kawaida sana kubadili wapenzi kama nguo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom