Recent content by harris_shoes_collection

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuagiza nguo online toka China kupitia Alibaba

    Unaagiza vipi? Mi nataka nyuzi za kufumia.zinaitwa hands knitting yarn
  2. H

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

    Tulia nyumbani kwako weka mziki wa taratibuuu na wine yako ujiburudishe.huko kwingine stress tu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Nashukuru kwa ushauri.ntazingatia hilo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Dalalitz.waanzilishi ni Kenya sehemu inaitwa malindi.kama kuna ziada ntafanya utafiti pia.usisahau kudalalia na viatu vyangu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Rangi zipi rubii?karibu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Moe junior ni email nikupe namba na maelekezo sister.dread@yahoo.com
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Nauza sandals za kike na kiume.karibuni wadau
  8. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu/sandles za kimasai

    Nitafute kwa email yangu.mi nafanya biashara hiyo.niemail ntakupa namba sister.dread@yahoo.com
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

    Mmmmmh!!! Arusha coffee lodge? Stop joking
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nauza sandals za kimasai

    Nauza sandals za Wadau tuungishane basi jamani sio kupeana tu maujanja wakati wateja ndio nyienyie. Hizo ni baadhi tu ya sample ila zipo nyingi na za ukweli sana ni kwa jinsia zote na saizi zote. KARIBUNI SANA[emoji120]
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

    Hata za 25000 hataweza maana ana laki mbili kulala cku kumi.
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya size ya lips za mdomo wa mwanamke na size ya kibuyu chake cha asali

    Unataka ckujua maumbile yangu yalivyo au unataka ckujua ukweli wa swali lililoulizwa?
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya size ya lips za mdomo wa mwanamke na size ya kibuyu chake cha asali

    Sio kweli.Mimi ni mwanamke.na maumbile yangu hayo yote ni tofauti.acheni kudanganywa[emoji12]
Back
Top Bottom