Mkuu umeona budget yake lakini...?Nenda Duluti Lodge hautajilaumu. Bei nadhani ni around $60 per night. About 12 km from city centre
Ngoja waungwana waje watujuze mi mwenyewe nina mpango wa kulala hapo Arusha for some days on my way to Kenya.Habarin wakuu
Nitakuwa Arusha kwa siku kumi
Budget yangu kwa ajili ya malazi haizid lak 2
Natanguliza Shukurani......
Unamuonea mwenzio. Ana laki mbili tu kwa malazi ya siku zote hizo.Nenda Duluti Lodge hautajilaumu. Bei nadhani ni around $60 per night. About 12 km from city centre
...yakhe we lodge zote za Arusha wazijua?Guest house tu zipo kibao za 20-25,000 not lodge.
Tofauti ya lodge na guest house ni nini? nauliza tu!Budget yako si ya kulala lodge,ulizia guest house
Ingia google ndugu upate maarifa.Tofauti ya lodge na guest house ni nini? nauliza tu!