Nauza sandals za kimasai

May 8, 2016
15
16
Nauza sandals za
c479c7e04a6fe4be7bd1d00f5738ae73.jpg
1462771123726.jpg
1462771159639.jpg
1462771232364.jpg
1462771288380.jpg
1462771309214.jpg
1462771363056.jpg
1462771429828.jpg
1462771480609.jpg
1462771532815.jpg
1462771591792.jpg


Wadau tuungishane basi jamani sio kupeana tu maujanja wakati wateja ndio nyienyie.
Hizo ni baadhi tu ya sample ila zipo nyingi na za ukweli sana ni kwa jinsia zote na saizi zote.
KARIBUNI SANA
 
Nauza sandals za
c479c7e04a6fe4be7bd1d00f5738ae73.jpg
View attachment 345815View attachment 345816View attachment 345817View attachment 345818View attachment 345819View attachment 345820View attachment 345821View attachment 345822View attachment 345823View attachment 345825 wadau.tuungishane basi jamani sio kupeana tu maujanja wakati wateja ndio nyienyie.hizo ni baadhi tu ya sample ila zipo nyingi na za ukweli sana.ni kwa jinsia zote na saizi zote.KARIBUNI SANA
Hivi wazalishaji wakuu wa hii bidhaa ni nani na-watu wa wapi hasa?
Hapo mwanzo niliamini watengenezaji pengine ni Wamaasai na makabila mengine lakini ya TZ.
Majuzi nilikuwa Nairobi-Kenya nimeona hata kule baadhi ya Wamaasa wanashughulika nayo hii shughuli pia vilevile pamoja na makabila mengine.

Lakini pia, Kuna mdau aliwahi kunidokeza kuwa hata Waganda kwao hii bidhaa ipo pia na kwa wingi.

'Nasanganyikiwa kabisa'.

Lazima ipo sehemu iliyoanza au ambako ndiko inakozalishwa kwa wingi zaidi. Je, ni wapi, Ni Nchi gani hasa?

Wewe unashughulika nazo pengine unao mwanga kiasi kama si wakutosha.

Asante.
 
Kuna rangi ya shanga hapo ilivyopangwa nimetamani ingekua cheni ya kiunoni
 
Back
Top Bottom