Biashara ya viatu/sandles za kimasai

mwampepe

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
330
129
Nina mtaji wa 100000Tsh nataka kuanza biashara ya viatu/sandles za kimasai,kila kiatu kwa bei ya jumla ni 10000,mimi nitauza 15000 hadi 13000.Naomba msaada wenu wa ushauri na changamoto za biashara hii wapendwa
 
Mwampepe ni bora ukaenda iwindi au umarila na senjere hapo kuna maharage ya njano huko vijijini yapo chini ya 24,000 lakini mbeya mjini yapo bei zaidi ya hiyo au hapo kawetere juu kuna viazi na maharage pia kama unaweza kuzunguka ma ofisini hii pia utaiweza vijijini kuna hela ukileta mjini bidhaa vitu vya fashion ivyo vinasumbua kidogo kwa sasa...
 
Back
Top Bottom