Recent content by Harith White

  1. Harith White

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Sio kweli, hizo ni propaganda tu, gemu zinauhitaji mkubwa wa kiakili ili usolve misheni zake mwenye akili iliyoharibika hatoweza Hivi tuseme wale waliokuwa wakicheza gemu ya snake kwenye nokia za tochi walitokwa na akili sio, badala yake inataka upambane ufikie high score zaidi kuliko ulipoishia...
  2. Harith White

    Miaka yetu na uanamke wetu.... uke ilikuwa unatunzwa sana

    Ulikuwa wapi hata ukatolewa bikra na mpuuzi! Sent from my S8 using JamiiForums mobile app
  3. Harith White

    Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Pole sana, lakini nilichokiona kwako ni kuwa unajitahidi sana kulifanya duara liwe pembe tatu, na mpaka sasa bado hujatanabahi kuwa hilo ni jambo ambalo haliwezekani, pole sana.
  4. Harith White

    Ps3

    Nahitaji playstation 3 kwa mwenye kuuza, ukiwa unauza basi reply kisha nitatuma contact zangu kwako.
Back
Top Bottom