Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,065
- 1,518
Anatumia fimbo kuua temboUnatumia nyundo kuua mende...
Anatumia fimbo kuua temboUnatumia nyundo kuua mende...
Ha ha ha ha ha.
Sipati picha hamorapa angekuwa mtoto wa kike na hiyo sura yake ingekuwaje.
Ila wa hivyo huwa wanawahi kuolewa fastaaa, tofauti na wanaojiona wazuri.