Recent content by Hariaz

  1. Hariaz

    Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Sasa akistisha watumiaji wa arv si ndio kwa her wote Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Hariaz

    Mungu aliruhusu Polepole aingie Segerea na msafara wake kwasababu alijua binadamu walipanga kufanya nini baadae kwa wafuasi wa CHADEMA hapo Segerea

    Mkuu inaonyesha walipo ccm chdm wanapatamani kwa nia ileile ya ccm (wanatumia dola /ipo siku chdm watakamata dola nadhani watakamata waitumie kwa lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Hariaz

    Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

    Anamshauri ajinyee iri anuke Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hariaz

    Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

    Kauli za kujitoa ufahamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hariaz

    Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Nni kitabu watu wamechoma makanisa na wanapeta tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hariaz

    Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Sio kwer Kama ndio hivyo bac sheria hiyo ilisha expaya maana watumish wanafumaniana kila siku na hazchukuliwi hatua Kama hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hariaz

    Drones ni muhimu sana kuzima moto

    Alaf lazma wajue ilishakua enzi watu wanamaliza mchakato baba mwenye nyumba unaletewa uanguke sain mchezo umeisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Hariaz

    Wanyonge wameungana na mabeberu wamewasikiliza

    Haroo kwer mmeshikwa pabaya na mnazd kuongezeka uzur ni kwamba chukia uchukiavyo sema usemavyo utaishia hivyo tuu huwez badilisha chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hariaz

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Aisee nachokiona nida ndio walitakiwa kupewa mda wa mwisho kutoa vitambulisho sio mwananch Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Hariaz

    Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

    Yaani sisi wachunga ng'ombe tunajua sana fomula hiyo anaechelewesha mwendo anakua mbele anayeadhibiwa ni wa nyuma nida ni tatizo kubwa mnaandikisha na kupiga picha wew na mkeo mmoja kinakuja mwingine unarudia had unakata tamaa mwenyew waliotakiwa kupewa muda was mwisho ni nida sio raia Sent...
  11. Hariaz

    Nahitaji ushauri: Nahisi nimekurupuka “kumhifadhi” huyu dada mjamzito

    Nachokiona wote elimu zenu zimeshindwa kuwasaidia shule mlienda kutafuta akili za ajira tuu si vinginevyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hariaz

    Nahitaji ushauri: Nahisi nimekurupuka “kumhifadhi” huyu dada mjamzito

    Baba ndio anataka makorokoro ya ajabu amtafute mwenye mzigo amng'ang'anie maana imeandikwa kila mtu atabeba mzigo wake ikishindikana amuone makonda Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hariaz

    Nimegundua ameni-cheat kwa miaka 3 mfululizo, nifanyaje?

    Mm naona hapo mmekutana kopo na mfuniko wake wote was visasa oaneni tuu c ameshalipiza tayar ila ukirudia kulipiza tena atalipiza hata na Mimi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Hariaz

    IGP na Mkuu wa Majeshi (CDF) wanampigia saluti Mbunge na DC ?

    Police kumopigia saluti dc inawezekana kabisa madc wengne walikua huko na walikua na vyeo kuliko wapiga saluti mnaowashangaa % kubwa ni wastaaf
Back
Top Bottom