Recent content by Harhombo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Rafiki sasa hivi huwezi kuhama mfuko moja kwenda mwingine, SSRA inasimamia mifuko yote na kuna sheria ya kumukataza mwajiriwa kuhama mfuko. Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi kampuni binafsi na nikajiunga na mfuko mojawapo, nilipopata kazi serikalini nikajiunga na mfuko mwingine ila baada ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Application zaid ya moja utumishi

    Always i appreciate you
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na Mtanzania very Intelligent!

    Wewe ndiyo hamnazo kabisa, unakaa na vichaa alafu unajiona bora miongoni mwao
  4. H

    JamiiForums Tanzania Interview UDOM

    The University of Dodoma invites the following applicants for written interviews to be held on Friday, 23rd January, 2015. Interviewees are required to report to Seminar Rooms of School of Social Sciences (Behind College Library) at 8 a.m. for completion of the necessary formalities prior...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Utumishi, tatizo ni nini?

    Mwendo ni kuwa mvumilivu kwa kila jambo jamani
  6. H

    JamiiForums Tanzania Utumishi, tatizo ni nini?

    Taarifa kwa Umma Idadi ya Vijana wanaoajiriwa katika Utumishi wa Umma yaongezeka. Rasilimaliwatu yenye sifa ni nguzo muhimu katika utendaji kazi uliobora na wenye kufikia malengo katika sehemu yeyote iwe ya huduma au uzalishaji. Rasilimaliwatu hasa katika utumishi wa umma hutegemea...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa kugombea wenyekiti simanjiro umeua mjumbe mmoja wa pande nyingine

    Tumefika pabaya jamani
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Eliza, Binti mrembo anayesambaza VVU kwa makusudi

    Dah Preta mwenyeji wa Babatij eee maana Tlawi ni....... na Tumati ni.... japo pia ni majina ya sehemu vilevile
  9. H

    JamiiForums Tanzania Asantenti wanaJF, asante Mungu hatimaye nimepata kazi Utumishi

    Hahahaha wapi huko?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa Kahawa

    Best question! Dai jibu lako ayse
  11. H

    JamiiForums Tanzania Simba noma

    Duuuu no comment
  12. H

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira Muogopeni Mungu

    Wabongo kwa malalamiko mna PhD za kutosha! Nilifanya PPRA nikakosa ila jamaa yangu kapata! Zamani kabla sijapata kazi kwa kupitia utumishi nilikuwa kama wew ila pale ni full Haki kijana. Wakikuita jiandae darasani maana wanafanya ushindani kwa maswali ya Darasani Punguza hasira maana wakati...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

    Apigishwe push up kwenye Maji machafu!!!!!!!!!!!!!!!!! Siyo wenzetu wa uswaziii tu .
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe wabinafsi sana na wasiokuwa na utu

    Wife material
Back
Top Bottom