Sasa kama ni hivo watu binafsi waanzishe viwanda vya nguo tuvae mbona simple, mbona kuna juisi za Azam zina compete na Ceres au Del Monte, kuna mtu kazuia private sector kuanzisha viwanda vya nguo?
sasa hapo kutakua kuna tatizo mahali , alafu Mpira ni mchezo wa makosa sio kwa wachezaji tu hata marefa, hata iweje hawawezi kuwa perfect 100% , kwa hiyo ni Bora kua shabiki maandazi na kushabikia hizi timu kujifurahisha tu na sio kujitwika unazi kwamba timu ya Mpira ndo source ya furaha yako.
Narudia tena, influencers wa Tanzania hawana impact kama ya influencers wa sehemu nyingine kama US.
Faida ya influencers wa Tanzania ni kuongeza kufahamika kwa brand husiku kitu ambacho mwisho wa siku kinaongeza mauzo.
Watu sio vichaa kuendeleza kuwatumia hao watu unaowaona ni vilaza.
Mkuu influencers Wana impact kubwa tu. Influencer wanaongeza visibility ya brand hasa kupitia kwenye digital platforms. Psychology ya manunuzi ilivo, ni rahisi mtu kununua kitu anachokifahamu au alichowahi kukisikia kuliko ambacho hajawahi kukiona au kukisikia kabisa.
Sasa issue sio...
Ni ngumu sana kuelewa , ila kutokana na huo ugumu wa kuelewa inaonesha walikua na sababu kubwa iliyowasukuma, ugumu wa maisha inaweza kua moja wapo , so huenda ilikua ni suicide mission
1. Ni lazima kupata kibali cha ujenzi kwa sheria zetu
2. Kibali kinapatikana halmashauri ya mji husika
3. gharama ni 200k kwa maeneo yasiyopimwa, kama pamepimwa ni kwa square meter za jengo,
4. umuhimu ni kujihakikishia usalama wa jengo lako na kukuwezesha kupata mkopo kwenye taasisi za kifedha...
Ni delusional na sio delutional kama ulivoandika, shida yako una approach ndoa kama business partnership hapo ndo unapofeli. Mwanaume unatakiwa ujipange kuendesha maisha yako na familia yako bila kumtegemea mke wako. Mke anakuja kwenye ndoa kwa ajili ya mambo ya ndoa sio kukuongezea kipato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.