Recent content by Harder1

  1. Harder1

    JamiiForums Tanzania POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata

    Mmh hiii ni kali aloooo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. Harder1

    JamiiForums Tanzania We kunywa tu! Usinywe kistaarabu wala nini!!!

    Haha duuh,ila sio wote wangefanya hivo.
  3. Harder1

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo: Wanaokosa mkopo wawe wanarudishiwa hela zao za maombi mkopo

    Wangekua hata wanafanya hivo,lakn nn unaona kinafanyika mkuu?
  4. Harder1

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo: Wanaokosa mkopo wawe wanarudishiwa hela zao za maombi mkopo

    Ila kama ni great thinkers haina haja ya kudadavua watajua pointi yangu ipo wap.
  5. Harder1

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo: Wanaokosa mkopo wawe wanarudishiwa hela zao za maombi mkopo

    Ndio hoja nzuri pia,hivi ndivo tutaifanya tz yetu iendelee,wizi unaonekana haufanyiwi kazi kabisa.Ni hela kiasi gani wanakusanya kipindi cha kujisajili kwa waonba mikopo,duuuh hatar sana bora hata wawe wanawapa watu wafanye mambo mengine bhna.
  6. Harder1

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo: Wanaokosa mkopo wawe wanarudishiwa hela zao za maombi mkopo

    Katika kujisajili kwa mwanafunzi wa chuo kupata mkopo kwanini pale wanapokosa bodi husika isifanye pia mkakati wa kurudishia watu hela za watu maana ni hela nyingi za watu zinatumika kufanya hicho kitu na zinapotea bila hata mrejesho wowote hata kwa sms tu kwamba hujanufaika na hela zao. Ni...
  7. Harder1

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums member's party

    Yote kheri tu. Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. Harder1

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Watu wanapenda kunywa juisi za matunda ,na matunda kawaida lakn tatizo ni ugumu flan wa kwenda sokoni kununua matunda na kutengeneza wenyewe,ukifanya kuwasaidia na kuwapelekea walipo itasaidia sana.
  9. Harder1

    JamiiForums Tanzania Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Gonga muhuri tuwahi. Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  10. Harder1

    JamiiForums Tanzania Six ways men can escape poverty

    Hapo kwenye no 2:cheap drinks...weka wazi bhna tunaelewa kuwa cheap drinks zipo nyingi.Lakini kwa ujumla mada ni nzuri inafunza.
  11. Harder1

    JamiiForums Tanzania Mandela was untouchable

    Hahah hii trick bongo haitafanya kazi lakn.
  12. Harder1

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu mafanikio

    Asante kwa kuendelea kunikumbusha vitu vya msingi.
  13. Harder1

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na mpenzi 'hopeless' ambaye zaidi ya 'sex' hakuna kinachowaunganisha?

    Wahivo kwangu wapite kushoto..i don't give a ***.
  14. Harder1

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

    Matamanio binafsi
Back
Top Bottom