We kunywa tu! Usinywe kistaarabu wala nini!!!

We kunywa tu! Usinywe kistaarabu wala nini!!!

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,317
Nini kingetokea iwapo matangazo ya pombe / bia / vilevi yangemalizikia namna hii:

We kunywa tu! Usinywe kistaarabu wala nini!!!


Hii ikizingatiwa kwamba pombe haiuzwi kwa watu walio chini ya umri wa miaka 18.

Ina maana wanawaona walengwa wa matangazo ni mazumbukuku ulimwengu uko huku, kiasi kwamba inabidi wawatahadharishe kunywa 'kistaarabu' kwenye matangazo ya sasa? Kwamba wakiwaambia 'wanywe tu' wanaogopa watakunywa kweli?

Disclaimer: Swali la Kifalsafa.
 
Matokeo ya pombe mkuu ndo yanafanya waseme hivyo wakisema tunywe tu watakuwa wameshiriki kutuua ikizingatiwa ni kilevi lazima kuwe na onyo hii kitu balaa lake si la kitoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom