Recent content by harder king

 1. harder king

  Watu wengi hawajui tofauti ya Android na IOS

  Iv sisi wa ios ndio simu zetu zikijisikia zinaandika app close pale unapokua unatumia hyo app
 2. harder king

  CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

  Aliesema ccm ni kizazi Cha panya Wala hakukosea
 3. harder king

  Wapinzani wanatakiwa kucheza ngoma yao na si ngoma ya CCM

  CCM wenyewe wamepagawa hawajui wanaicheza ngoma yao,upinzani au ya mwenda zake yaaan wamekua machizi machizi tu!
 4. harder king

  Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

  Ndio ivyo ivyo walimtabiria mwenda zake Mama anawajua mwanzo mwisho kuwa ni wachumia tumbo tangu kitaambo
 5. harder king

  Maisha yamenishinda, vita imenishinda

  Dah mwamba unafeli wap aisee yaan tangu utotoni mpaka umekuwa bado unajiona umeumbiwa kupoteza? We ni wa thamani kuliko pesa na mali
 6. harder king

  Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

  Ili lijamaaa si ndio lilikua la kwanza kupiga nyungu ili kumfurahisha mwenda zake et leo lememgeuka, ama kweli njaa mbaya.
 7. harder king

  Hivi mnajua CHADEMA wamepata hati gani?

  We taga chadema wanajitambua sio Kama hao mataga wenzako
 8. harder king

  Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

  Apambane sasa atafute barabara, madaraja na majengo ya kuyapa majina ya mama Kama alivyokua akifanya kwa jpm. Ule mda wa kufanya kazi ili kumfuraisha flan ushapita na kwa bahati mbaya tiari jofo alishazoe sasa sijui Kama ataweza kufanya kazi bila mapambio.
 9. harder king

  Kipanya aibuka na Mawaziri baada ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan kuanza kazi

  Mawaziri wa jpm wamefungashiwa virago na pakuelekea hawajui
 10. harder king

  Enzi hizo...

  Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba, Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3 Sukari nusu Lita..mafuta taa...
 11. harder king

  Zijue athari za kiafya zitokanazo na uvaaji wa chupi

  Haha mleta mada hajatusaidia sisi wavaa suruali za vitambaa kabisa.
 12. harder king

  Zijue athari za kiafya zitokanazo na uvaaji wa chupi

  Pumbu zinachemkaje mkuu[emoji1787][emoji1787] Somo bomba sana tatizo ni kwetu sisi ambao sensor zetu zipo juu kupita kiasi yaan tukiona demu kavaa kizembe tu mashine inasoma 5G sasa Kama ujavaa Pichu lazima joka lilete tafran kwenye jamii.
 13. harder king

  DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

  Hazina iliyooza sio, na soon itaondolewa hili kuwekwa hazina inayostahili
 14. harder king

  DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

  Yes yes ata sisi tuliowengi tunamtabiria makubwa sana yatakayo enda sambamba na maofu yake.. Lazima alipe mpaka doti ya mwisho Mungu alali!
 15. harder king

  Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

  Wewe ni taga Kama mataga mengine tu acha kujificha kwenye shamba la karanga nyang'au wewe
Top Bottom