Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Leo ni Kufa Au Kupona. Mshindi lazima Apatikane kati Ya YANGA SC Vs KMKM ambaye Atakwenda Kucheza Nusu Fainali.

Saa 10:15 Joni mabingwa watetezi Yanga SC kupepetana na KMKM, timu zote zilipata ushindi mechi zao za ufunguzi.

Je, leo nani kuchezea kichapo?

Kila mmoja Anawakilisha lakini KMKM wanataka Kuwakilisha Hasa kwa Upande wa Visiwani

Atakae pigwa leo, Ametoka

=========

45' ⚽Makambo anaiandikia Yanga bao la kwanza mwishoni mwa kipindi cha kwanza, krosi maridhawa kutoka kwa Dickson Ambundo

Yanga inafanya mabadiliko ya wachezaji watatu baada ya kutoka mapumziko. Ambundo nafasi inachukuliwa na Farid, Nkane anakwenda bench na nafasi yake kuchukuliwa na Jesus Moloko huku Bryson anaingia kuwa mbadala wa Mustafa Salum

54' ⚽Ibrahim Abdallah anaweka uwanja sawa, Yanga SC 1-1 KMKM

82' ⚽Feisal Salum anaupa tena uongozi timu ya yanga kwa shuti kaali

90+2' ⚽KMKM wanasawazisha

90+4' Refa anapuliza kipenga kumaliza mpira
 
Naona makolo wanafungua vijiwe vya kahawa ili waendelee kuongea porojo zao
 
Barabara kabisa leo niko live hapa nitaendelea kuungana na nyinyi kuhakikisha nawahabarisha yanayojiri katika viwanjani huko unguja, leo nitashusha update hadi kwa screenshoot ikibidi hata video clips za matukio muhimu nitaweka

wapi pape ostham sakho a.k.a OKW BOBAN SUNZU

Wapi Mayele a.k.a Insigne

Wapi kibendera muona offside a.k.a Its Pancho

Wapi Ahmed Ally a.k.a NAWATAFUNA

Wapi Sadio mane kanoute a.k.a Nyamizi

Naam Naaam wadau ni wengi wengine wakipasha misuli hapo tuendelee kusomana YANGA MBELE DAIMA MWIKO Here we go

1641559402408.png
 
View attachment 2072115
Msengelema sana ww
 
Naona balama mapinduzi karudi kikosini baada ya kukaa muda mwingi akiuguza majeraha
 
Naona balama mapinduzi karudi kikosini baada ya kukaa muda mwingi akiuguza majeraha
Amevumiliwa saana mpk amepona ila angekuwa sehemu nyingine angeachwa na angependa kuuguza majeraha yake nyumbani kwao
 
Haya ndiyo yaliyojiri wakati tukisubiri mtanange kuanze, kaze akihojiwa kuhusu kuonekana kwa balama mapinduzi kwenye game ya leo

Amevumiliwa saana mpk amepona ila angekuwa sehemu nyingine angeachwa na angependa kuuguza majeraha yake nyumbani kwao
Na uvumilivu waliupata baada ya kwasababu alishawahi ifunga simba goli moja, bila ya hivyo angekuwa balaa
 
Leo ni Kufa Au Kupona. Mshindi lazima Apatikane kati Ya YANGA SC Vs KMKM ambaye Atakwenda Kucheza Nusu Fainali.

Saa 10:15 Joni mabingwa watetezi Yanga SC kupepetana na KMKM, timu zote zilipata ushindi mechi zao za ufunguzi.

Je, leo nani kuchezea kichapo?

Kila mmoja Anawakilisha lakini KMKM wanataka Kuwakilisha Hasa kwa Upande wa Visiwani

Atakae pigwa leo, Ametoka
Kmkm tuachie hyo boya
 
Othman ally alikuwa na hatari sana ila kwa bahati mbaya kibendera kilikua juu, ilikua hatari kwenye goli ya yanga
 
Back
Top Bottom