Recent content by hard like rock

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajitokeza Kumlaki Kikwete Jijini Arusha Leo.....

    watu kumi na tano nao maelfu,kazi kweli kweli
  2. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

    Sindano imekuingia vizuri mleta Uzi,cdm ni ukombozi hata ww ukisikia sauti na kutii unakaribishwa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Simchukii mtu, Lakini kwa utaratibu huu tutafika?

    Sasa magari ya washawasha yanaweza kuzuia Alshababu?nauliza tu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Swahba wa Zito kumvaa Wenje Nyamagana

    jamaa inaonesha anahutubia familia yake
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni mabadiliko gani hasa tunayaona yameletwa na upinzani Afrika?

    usishangae MTU anayeshabikia sisiemu,yeye ni mnufaika na wala hajui ugumu wa maisha hku mtaani.
  6. H

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuihujumu Serikali ya UKAWA!

    Hatuwezi kukubali watumie rasilimali za nchi kujinufaisha wao,wake zao,mahawara zao na watoto wao,ole Wao ukawa wakichukua nchi hakika watazirudisha au wataenda kunyea debe,acha wajione wao ndo watu na wengine majitu oktoba sio mbali...Naitamani sana oktoba nioneshe hasira zangu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mazuri haya, kwanini nisiichague tena CCM?

    Mleta mada una akili na kumbukumbu sana,matatizo mengi ya ukosefu wa ajira yamesababishwa na kuua viwanda hvyo.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunika mkutano wa hamasa BVR Iringa Mjini

    Hili ni pigo kwa sisiem,no escape.
  9. H

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yashusha bendera za CHADEMA Kigoma,wakomba 3500 kutoka CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi

    Tamaa ya madaraka ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo,Kila MTU anataka kuwa kiongozi ndio maana wanakimbilia vyama visivyo na mwelekeo tu ilimradi MTU upate cheo,kweli safari ya ukombozi bado ndefu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Hongera kaka,nani ataenda kumtoa janga la mkalama Salome mwambu,tunasubri kwa hamu ukombozi mkalama.
  11. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Mleta mada Tumia akili japo kidogo,visu vya kukatia nyanya na mandate ya kuwindia ndege ndo zana za kijeshi?nawe eti greater thinker ni shiiida.
  12. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Itigi

    Hongera sana makamanda,mwaka huu mpaka kieleweke.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante sana Mshana Jr kwa wema Wako wa kutuelimisha bure,Mungu akupe maisha marefu.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hbr,nimependa sana jinsi unavotuelimisha humu kuhusu magari,naming nataka kununua Gari ila napenda unisaidie ni Gari gani inauzwa bei ya chini ni ya kisasa na inatumia mafuta kidogo.ni kwa ajili ya safari za mjini tu,ukiweza nitajie bei kaka na wapi zinapatikana.ahsante.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo: Siasa sio mitandaoni, nendeni kwa wapiga kura

    Hbr wanna jukwaa, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu act hapa jukwaani ila mimi nikaamua kwenda mbali zaidi kwa kufanya utafiti swali langu lilikuwa Je wananchi wasiotumia mitandao ya kijamii wanaifahamu na kuijadili act?majibu ni kwamba asilimia 99 ya wananchi waliopo vijijini...
Back
Top Bottom