Kwa mazuri haya, kwanini nisiichague tena CCM?

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,564
Wakati viongozi wangu wanajiuliza kwa nini Shilingi yetu inaporomoka, wanatakiwa pia kujiuliza haya:
•Iko wapi UFI?

•Iko wapi TANGANYIKA PACKERS

•Iko wapi GENERAL TYRE?

•Iko wapi URAFIKI, SUNGURA-TEX, MWATEX, nk

•Iko wapi RTC?

•Iko wapi SUKITA?

•Iko wapi MMMT

•Iko wapi 'BENKI YA USHIRIKA NA MAENDELEO VIJIJINI' (sio hii CRDB ya sasa)

•Iko wapi UDA?

•Iko wapi KAMATA?

•Iko wapi RELI YA TANGA?

•Iko wapi NMC?

•Iko wapi ATC?

•Iko wapi Zana za kilimo Mbeya?

•Iko wapi RETCO?

•Iko wapi Tancati Almasi?

•Iko wapi Tumbaku Morogoro?

•Iko wapi Katani Tanga?

•Iko wapi Zabibu Dodoma?

•Iko wapi NeMCO na TATEPA?

•Wako wapi waliokuwa Wakurugenzi na mameneja wa viwanda na mashirika hayo?

Tunaambiwa Tanzania ndo nchi ya pili kwa kuwa na mifugo mingi Afrika, sawa.

•Je soko letu la mazao yatokanayo na mifugo ni nchi zipi?

•Na ni kwa kiasi gani sekta hiyo inatuingizia fedha za kigeni?

Tunajinasibu kuwa na utajiri wa dhahabu, almasi, chuma, Tanzanite, nk ambayo tayari yameshaanza kuchimbwa, bado Gas, mafuta, uranium,

•Vmetuingizia fedha za kigeni kiasi gani?

Eti tuna vivutio vingi vya utalii,
•Je, kuna uwiano kweli kati ya wingi wa vivutio hivyo na kile tunachopata?

Halafu eti tunajiuliza why shilingi inashuka?
 
Hii unayosema ni kweli lakini watu waliopotea ni wengi mno
 
Huu ndiyo uzuri wa habari unaweza kuandika hata uongo vyovyote unavyotaka lakini asipatikane wa kuhangaika na wewe.
 
CCM wangejua nilivyowachoka na siwataki hata kuwasikia popote pale...basi wangejifia kimya kimya tu na kwenda kuzimu.
 
Mmeshaipata hii kama tayari niwie radhi

Wakati viongozi wangu wanajiuliza kwa nini SHILINGI yetu inaporomoka, wanatakiwa pia kujiuliza haya:
•iko wapi UFI?
•iko wapi TANGANYIKA PACKERS
•iko wapi GENERAL TYRE?
•iko wapi URAFIKI, SUNGURA-TEX, MWATEX, nk
•iko wapi RTC?
•iko wapi SUKITA?
•iko wapi MMMT
•iko wapi 'BENKI YA USHIRIKA NA MAENDELEO VIJIJINI' (sio hii CRDB ya sasa)
•iko wapi UDA?
•iko wapi KAMATA?
•iko wapi RELI YA TANGA?
•iko wapi NMC?
•iko wapi ATC?
•iko wapi Zana za kilimo Mbeya?
•Iko wapi Retco?
•iko wapi Tancati Almasi?
•Iko wapi Tumbaku Moro?
• Iko wapi Katani Tanga?
•iko wapi Zabibu Dodoma?
•Iko wapi Nemco na Tatepa?
•WAKO WAPI WALIOKUWA WAKURUGENZI NA MAMENEJA wa viwanda na mashirika hayo?
....................
..................
Tunaambiwa Tanzania ndo nchi ya pili kwa kuwa na mifugo mingi Africa, sawa.
•je soko letu la mazao yatokanayo na mifugo ni nchi zipi?
•na ni kwa kiasi gani sekta hiyo inatuingizia fedha za kigeni?
...................
Tunajinasibu kuwa na utajiri wa dhahabu, almasi, chuma, TANZANITE, nk ambayo tayari yameshaanza kuchimbwa, bado Gas, mafuta, uranium,
•vimetuingizia fedha za kigeni kiasi gani?
.................
Eti tuna vivutio vingi vya utalii,
•je kuna uwiano kweli kati ya wingi wa vivutio hivyo na kile tunachopata?
...............................
....................
Halafu eti tunajiuliza why shilingi inashuka?

UNAYAJUA HAYA KUH
USU CCM?

[h=2]MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA[/h]
Katika kipindi cha Kikwete masuala yafuatayo lazima tumpe Credit kwani baadhi yamefanywa na JK wa mwanzo tu na hayakufanywa na Mwinyi wala Mkapa.

1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri

2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever

4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)

7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.

9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.
picha; maendeleo ya ujenzi wa daraja la kigamboni eneo la kurasini jijini dsm. ujenzi ulikuwa asilimia 47 mwezi july
1-+muonnekano+wa+daraja+la+kigamboni.JPG

images

​

Hivi umemuelewa mleta mada? Maana u ayazungumza ya Kikwete kama vile ni Rais kutokea UDP na kuwa aliyouliza mleta mada hayamuhusu yeye na chama chake alichokitumikia kama rais miaka kumi, waziri wa nje miaka kumi na waziri katika wizara nyeti miaka kadhaa.
Ungejibu maswali ya wapi viko hivyo viwanda? Nk nk
 
Mwingine anaongeza ----- usionesha mazuri hayo yamepandishaje thamani ya shilingi!
 
Hivi umemuelewa mleta mada? Maana u ayazungumza ya Kikwete kama vile ni Rais kutokea UDP na kuwa aliyouliza mleta mada hayamuhusu yeye na chama chake alichokitumikia kama rais miaka kumi, waziri wa nje miaka kumi na waziri katika wizara nyeti miaka kadhaa.
Ungejibu maswali ya wapi viko hivyo viwanda? Nk nk

Mkuu, huyo ni mnufaika wa hayo machache aliyoyaweka hapo.
 
Huu ndiyo uzuri wa habari unaweza kuandika hata uongo vyovyote unavyotaka lakini asipatikane wa kuhangaika na wewe.

ukweli ni upi sasa? mknd wako!
 
UNAYAJUA HAYA KUH
USU CCM?

[h=2]MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywsa na marais waliomtangulia HAYA HAPA[/h]
Katika kipindi cha Kikwete masuala yafuatayo lazima tumpe Credit kwani baadhi yamefanywa na JK wa mwanzo tu na hayakufanywa na Mwinyi wala Mkapa.

1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri

2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever

4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)

7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.

9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well.
picha; maendeleo ya ujenzi wa daraja la kigamboni eneo la kurasini jijini dsm. ujenzi ulikuwa asilimia 47 mwezi july
1-+muonnekano+wa+daraja+la+kigamboni.JPG

images

​

​

​
Wakati unaangalia hayo jaribu kucheck na amewezaje Zapata fedha hizo na je zisingefanya zaidi ya hayo?
Vyanzo vya awamu ya 4 ni-
1.kodi
2.Mikopo
3.Misaada
swali,je Kwa deni la taifa lilivyokua kutoka trillion 4 mwaka 2005 na sasa trillion 39,kodi na misaada asingeweza kufanya makubwa zaidi?Mi naona it's too little!Ugonjwa namba moja Tz hi ufisadi.
 
du, ama kweli CCM ni nambari wani. CCM oyeeee! ukweli ni upi sasa? mknd wako!
attachment.php

Matusi ya nini sasa?
tatizo lenu BAVICHA ni jazba
hiyo picha inajieleza kabisa
No. 1 kushoto No 2 kulia ni uvivu wenu wa kulala majalalani, na kwenye kazi amkeni mkafanye kazi hakuna Chama kitakachowaletea pesa mfukoni
No 3 Wanafunzi wote wanasoma shule za Msingi tofauti na Nchi jarani zinazoizunguka Tanzania mpaka Elimu ya Sekondari (Shule za Kata)
No 4 Msiba i kwa kila mtu ni lazima akahifadhiwe kwa taratibu na Mila zao sasa mnataka CCM itoel nini hapo?
No 5 kushoto Fuateni uzazi wa Mpango, Hospital kuwa na marumaru ni hatua kubwa hasa hapa afrika kwani hao kina mama huduma hawajanyimwa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...anywa-na-marais-waliomtangulia-haya-hapa.html

Mleta mada una akili na kumbukumbu sana,matatizo mengi ya ukosefu wa ajira yamesababishwa na kuua viwanda hvyo.
Hebu angalieni Mabadiliko ya Uchumi Duniani, usiwe km mleta mada anayesubiri kazi za Viwandani wakati kuna Techology kubwa na inayoenda kwa kasi
Unamsifia mleta Mada TEKNOLOJIA wakati mabadiliko yaliyoletwa na Urusi enzi za Prestoika yalibadili kabisa mambo ya kuajiriwa viwandani, leo kuwa fundi mchundo uka FUE chuma kupata jembe la ng'ombe (UFI) au kaniki URAFIKI ni wapi na wapi
Nigeria kwa akina Dangote kuna ufisadi wa kutisha lakini wamewapita Afrika kusini kwa ajili na Domodomo ambalo ndiko tunakoelekea
 
Back
Top Bottom