1. Restructuring ya Muungano - maoni yangu 3 government kama rasimu ya Warioba
2. Ma-judge wasiteuliwe na Rais, watokane na mfumo wa kimahakama ili kuwapata ambapo watafanyiwa usaili
3. Mfumo wa serikali za mitaa ubadilishwe; maoni yangu tuwe na kanda za uongozi ili kumpunguzia mzigo Rais pia...
Naomba kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji wa wimbo huu wa zamani(zilipendwa) wenye maneno haya ndani yake;
“Kule bagamoyo kulee,kule bagamoyo kuleee,
Kuna mandege meupe”
Ahsante!
Habari wakuu!
Natanguliza shukrani wa wadau na wapenzi wa nyimbo za zamani (zilipendwa),naombeni msaada wa kujua jina la wimbo na wa/mwimbaji kwa kuwa msanii aliyeimba simjui wala jina halisi la wimbo silijui ,ila nakumbuka baadhi ya maneno yaliyomo kama;
“kule bagamoyo kule, kule bagamoyo...
Samahani au mm ndo sijakuelewa mkuu au ww haujaelewa alichoandika mkuu ? Yani mshara ata ukiwa unalipwa kila tarehe 5 ya kila mwezi ni sawa tu na mtu analelipwa kila tarehe 30 ya kila mwezi hakuna jipya hapo.....
Yes, Kilimanjaro your Good ,lkn mnapenda sana matangazo,mbona mwaka jana T.O katoka mbeya hatukuona wanyakyusa wakijitamba kwa style kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa makubaliano hayo yapo ndiyo maana dhahabu zetu zimerudishwa,ila hili la kuchoma vifaranga+kupiga mnada ng'ombe tulitumia Sheria zetu za ndani+kimataifa bila kuzingatia mawasiliano ya kidiplomasia kati ya mataifa rafiki na jirani,ndiyo maana waziri wa Kenya alilamikia kitendo cha...
Hapa wa kusifiwa ni Rais Kenyatta,sisi Tanzania tulionesha neighborhood failure baada ya kuchoma vifaranga,kutaifisha/kuuza ng'ombe wa Kenya kwa mnada. Kwa pongezi hizi/sifa hizi
Nadhani Pascal Mayalla siyo Yule ninayemfahamu, inawezekana ametekwa na wasiojulikana wanatumia simu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.