Acacia waishukuru Serikali kuhusu gold export North Mara ila walia kuzuiliwa na taasisi moja, wakiruhusiwa na nyingine, hawazalishi hadi zuio litoke!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,494
113,590
Wanabodi,

Wakati Acacia wakisubiria kukamilika kwa mauziano na Barrick, leo asubuhi wametoa press release nyingine
Jamaa wanasema
Further Update on Gold Shipments at North Mara
15 Aug 2019

Following the last update on 9 August 2019, Acacia notes today that its North Mara Gold Mine has started to receive export permits from the Mining Commission of the Tanzanian Ministry of Minerals. The Company has now resumed the export of gold from North Mara. Following the sale of this gold, the Company will be able to meet its financial obligations for an extended period of time.

However, it should be noted that since the Prohibition Notice (the “Notice”) issued by the Tanzanian National Environment Management Council came into effect, which ordered the North Mara Gold Mine to stop use of its Tailings Storage Facility on 20 July 2019, all gold production at the processing plant at North Mara has been forced to cease. Production at the plant will not resume until the Notice is lifted. Mining activities at the North Mara Gold Mine remain unaffected for the time being with mined ore being added to stockpiles while a resolution is sought with respect to the Notice.

The Company will provide an update as appropriate in the event of any developments regarding the Notice.

Wanaishukuru serikali kuruhusu gold export kutoka mgodi wake wa North Mara, hivyo sasa watauza dhahabu na maisha kuendelea. Pia kazi ya uchimbaji wa dhahabu inaendelea kwa kuchimba na kujaza stock piles lakini uzalishaji wa dhahabu hauendelei kutokana na zuio la Nemc.

Wamepewa export permit na Tume ya Madini iliyochini ya Wizara ya Madini, lakini wakati huo huo, inalo zuio la Baraza la Usimamizi wa Mazingira, NEMC, kumbe huu mtindo wa mtu mmoja kutoa haki kwa mkono huku akizizuia kwa mkono mwingine, sio kwenye demokrasia tuu, na mambo ya kisiasa, hata kwenye uchumi!.

Kisiasa, katiba kwa mkono mmoja, imeruhusu kila mtu kuwa huru kugombea nafasi yoyote ya uongozi toka serikali za mitaa hadi serikali kuu, huku kwa mkono mwingine haki hiyo imenyanganywa kwa kipengele ili kuchaguliwa lazima mtu adhaminiwe na chama cha siasa, hivyo sisi tusio na vyama na ambao ndio tulio wengi, haturuhusiwi kuitumia haki yetu ya kidemokrasia ya kushiriki uongozi kwa sababu hatuna vyama. Kiukweli kabisa hii sii haki!.

P.
 
Maamuzi ya NEMC wa kuufungia mgodi wa North Mara kutolitumia bwawa la sumu taka ( TSF) kwa kigezo kuwa linavujisha sumu kwenye mazingira ni mtego na kitanzi kikubwa serikali yenyewee……. kama walidhani wanawakomoa acacia, sasa acacia wamekwenda wanakuja barrick kama wamiliki wapya, watawaruhusu au katazo litaendelea?
 
Lazima liendelee katazo,hiyo nikesi yamazingira
Maamuzi ya NEMC wa kuufungia mgodi wa North Mara kutolitumia bwawa la sumu taka ( TSF) kwa kigezo kuwa linavujisha sumu kwenye mazingira ni mtego na kitanzi kikubwa serikali yenyewee……. kama walidhani wanawakomoa acacia, sasa acacia wamekwenda wanakuja barrick kama wamiliki wapya, watawaruhusu au katazo litaendelea?
 
Mayala ,wale maprofesa wakamati ile wapo au washakufa,kamawapo kawaulize kwann mapendekezo yao yameonekna uchwara...nakama aliyokua anasema lisu yanaishi nayatashamili zaidi.
Wanabodi,

Wakati Acacia wakisubiria kukamilika kwa mauziano na Barrick, leo asubuhi wametoa press release nyingine
15 Aug 2019 Further Update on Gold Shipments at North Mara

Wanaishukuru serikali kuruhusu gold export kutoka mgodi wake wa North Mara, hivyo sasa watauza dhahabu na maisha kuendelea. Pia kazi ya uchimbaji wa dhahabu inaendelea kwa kuchimba na kujaza stock piles lakini uzalishaji wa dhahabu hauendelei kutokana na zuio la Nemc.

P.
 
Wajinga sana hao jamaa, in fact ni wezi.wajanjawajanja sana. Wametuharibia visima vyetu vyote vya asili ambavyo tulikuwa tukivitegemea miaka kwa miaka sasa tunaviogopa.
Hivi visima vilikuwa vinatoa maji masafi meupe, ghafla yakabadilika na kuwa na wekundu fulani ,ule weupe wa asili ukapotea, sasa tunayaogopa. Mfano ni kisima kinaitwa ''kenyanswi''
Wabunge wetu ndo wamelea huu uozo wa hii kampuni. Walikuwa wakiunda tume ,tume inapokelewa kwa ndege ya mgodi na wanapigwa kitu kidogo wanafumba macho
 
Wakati kuna a lot of uncertainties; US-China trade war, Brexit, weak economic data and recession fear, Huu ndio ilikuwa wakati wa ku benefit na Gold!

Sitashangaa Gold ikifika 1600 siku za karibuni!
 
Pascal Mayalla tunasubiri na wewe tamko lako la kumchongea ndugu Kabendera ili asulubiwe na dola!!

Mzee wa genuine and bone fide, je shutuma zile zimekaaje kwenye urali wako?!
 
Ukisikia "wamebana wameachia" ndiyo hii..
Sipati picha Kwa Ile tume ya maproffesa malofa wanajisikiaje huko walikoo
 
Wanabodi,

Wakati Acacia wakisubiria kukamilika kwa mauziano na Barrick, leo asubuhi wametoa press release nyingine
Jamaa wanasema
Further Update on Gold Shipments at North Mara
15 Aug 2019

Following the last update on 9 August 2019, Acacia notes today that its North Mara Gold Mine has started to receive export permits from the Mining Commission of the Tanzanian Ministry of Minerals. The Company has now resumed the export of gold from North Mara. Following the sale of this gold, the Company will be able to meet its financial obligations for an extended period of time.

However, it should be noted that since the Prohibition Notice (the “Notice”) issued by the Tanzanian National Environment Management Council came into effect, which ordered the North Mara Gold Mine to stop use of its Tailings Storage Facility on 20 July 2019, all gold production at the processing plant at North Mara has been forced to cease. Production at the plant will not resume until the Notice is lifted. Mining activities at the North Mara Gold Mine remain unaffected for the time being with mined ore being added to stockpiles while a resolution is sought with respect to the Notice.

The Company will provide an update as appropriate in the event of any developments regarding the Notice.

Wanaishukuru serikali kuruhusu gold export kutoka mgodi wake wa North Mara, hivyo sasa watauza dhahabu na maisha kuendelea. Pia kazi ya uchimbaji wa dhahabu inaendelea kwa kuchimba na kujaza stock piles lakini uzalishaji wa dhahabu hauendelei kutokana na zuio la Nemc.

Wamepewa export permit na Tume ya Madini iliyochini ya Wizara ya Madini, lakini wakati huo huo, inalo zuio la Baraza la Usimamizi wa Mazingira, NEMC, kumbe huu mtindo wa mtu mmoja kutoa haki kwa mkono huku akizizuia kwa mkono mwingine, sio kwenye demokrasia tuu, na mambo ya kisiasa, hata kwenye uchumi!.

Kisiasa, katiba kwa mkono mmoja, imeruhusu kila mtu kuwa huru kugombea nafasi yoyote ya uongozi toka serikali za mitaa hadi serikali kuu, huku kwa mkono mwingine haki hiyo imenyanganywa kwa kipengele ili kuchaguliwa lazima mtu adhaminiwe na chama cha siasa, hivyo sisi tusio na vyama na ambao ndio tulio wengi, haturuhusiwi kuitumia haki yetu ya kidemokrasia ya kushiriki uongozi kwa sababu hatuna vyama. Kiukweli kabisa hii sii haki!.

P.
Pascal mchumia tumbo!
 
Back
Top Bottom