Recent content by harbab

  1. H

    JamiiForums Tanzania Maono ya Kikwete Yatimia Misri

    SO MTOA MADA UNATAKA KUTUAMBIA KAMA SERIKALI TATU NDIO ZIMESABABISHA MAPINDUZI YA KIJESHI HUKO MISRI. na kama si hivyo hata hizi mbili au moja kama itkuja mapinduzi yananweza kutokea endapo serikali itshindwa kutoa haki kwa raia wake. HAINA MASHIKO THREAD YAKO, pitia historia ya Tanzania utaona...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete June 02, 2012!

    wenyewe muamsho wamekana kuchoma moto makanisa, just ni njia ya kuwadhoofisha katika harakati zao za kudai zanzibar huru! SOLUTION NI KURA YA MAONI KWANZA then mchakato wa katiba baadae.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni kuhusu muundo wa muungano na katba mpya

    EXCELLENT muandishi umebase kwenye ukweli zaidi, kuliko matashi yako binafsi. i like it. inabidi kama itakuwa serikali tatu tanganyika iunde bunge lao la tanganyika na bunge lilikuwepo liwe la muungano au vp? na bunge la tanganyika liwe responsible kwa kupitisha katiba ya tanganyika. NGUMU...
  4. H

    JamiiForums Tanzania ‘Vurugu Zanzibar zina mkono wa vigogo’

    vurugu zote zinasababishwa na serikali.njia pekee ya kusuluhisha ni kusikiliza wananchi wanataka nini.! kama kura ya maoni wawaachie wapige, kama wazanzibari wengi hawautaki huo muungano just kukaa chin na kuseparate vitu tulivyoungana maana ni baadhi tu! kama walivyofanya senegal na gambia bila...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waunguja wawabagua Wapemba

    dah ccm kweli mahodari kwa propaganda. jana niliziona zile karatasi zinagaiwa pale kisonge(maskani ya ccm) hao viongozi wa uamsho hakuna hata mmoja mpemba, sheikh mselem ni mdonge(unguja) juma musa aliekamatwa juzi akasababisha fujo mdonge(unguja) azzan mfenesini unguja, faridi mama yake pemba...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: TZ Bado Inaiunga Mkono West Sahara

    tatizo si wa kweli kama kweli tz inapenda kila nchi na wananchi wake waamue jinsi gani ya kuishi na kuamua juu ya nchi zao wangeiruhusu zanzibar kupiga kura ya maoni kama wanataka kuwa huru au laa! jenga kwako kwanzaa jirani baadae.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Serekali za Majimbo Ziwepo, Zanzibar Tuachane Nayo- Tubaki na Tanganyika Yetu

    Namuunga mkono mwandishi. tuseme hamuwafaham waznz wao hawataki muungano! kwanini munganganie? hawatakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    zanzibar imo kwenye ramani ya dunia na inajulikana hata katika google earth ukiiangalia itakuja bt tanganyika haipo ktk ramani ya dunia. tanganyika haipo!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Tanganyika tunatukanwa na tukae kimya?

    Tanganyika ndio useless maana wenzetu washapiga hatua nyingi tuu, waznz wana bunge, mahakama, wimbo wa taifa, bendera, rais ss hivi wanatafuta mamlaka ya kimataifa<soveirnity> cha kujiuliza endapo wakiweza kutoka kwenye muungano tanganyika itaanza wapi? hatuna chochote!
Back
Top Bottom