Pharaoh
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 843
- 157
- Thread starter
- #41
Wanapenda wali, ugali hawali wanasema si chakula kwa kuwa hakiungwi. Wanajua shughuli ya kulima mpunga??
Ugali hawaupendi kwa kuwa ni mgumu, vitu vigumu gumu hawavipendi! si unajua watu wenye usaudia? wao nakshi nakshi tu, wanapenda khalua, orojo, biriyani, keki, yaani wanapenda laini vitu vya kudondoka bila kusukuma saaaana na pia mafuta ya nazi na manukato ya kiarabu aaakh buheeeri...