Recent content by Harawa

  1. Harawa

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji wa Sumbawanga mwaminifu mwelewa

    Mimi ni mwenyeji ila sipo huko kwa sasa...ila naweza saidia vile nitaweza...nimeku-dm imekataa.
  2. Harawa

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

    Halafu eti jogoo atapelekwa mahakamani kwa ajili ya ushahidi....Dunia ina mengi sana 😁
  3. Harawa

    JamiiForums Tanzania Wale wa 'Isidingo'

    ISIDINGO imeshafika mwisho, ila kwa ITV itaisha miezi ya mbeleni mwaka huu kwa saabu wapo nyuma kidogo... Kwa tuliokuwa tume-subscribe kwa channel yao kule YouTube tumesha-unsubscribe😔😔😔😔Tutaimiss HORIZON DEEP.
  4. Harawa

    JamiiForums Tanzania Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

    Nasikia una siku ya tatu unanifuata mwenzioooo.... na mapanga na marungu kisa demu.......
  5. Harawa

    JamiiForums Tanzania Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

    Niambie ni ngoma gani baba la baba
  6. Harawa

    JamiiForums Tanzania Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

    ....hiyo chenji inayobaki mpatie akanunue kuberi
  7. Harawa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asanteni kwa nyimbo mnazozi-upload...naomba mwenye wimbo wa BWII...uliimbwa na Chambersquad miaka ya 2000s.
  8. Harawa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Friends, natafuta wimbo wa "Ndani ya Club"...Kaimba P.Funk, Kiitikio mzee mwenyewe Juma Kassim Kiroboto.
  9. Harawa

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Viceroy na ginger ale.....
  10. Harawa

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta leo Mama G

    Dah....mzee baba pole.....
  11. Harawa

    JamiiForums Tanzania Kakaange Ugoro

    Mmea wa kondeni ni bora zaidi...bora zaidi usichanganywe na chochote ....asili huponya.
  12. Harawa

    JamiiForums Tanzania Panya wa ajabu

    mzee baba ushaanza kumpokea majukumu Mshana
  13. Harawa

    JamiiForums Tanzania Meditation sio kwa waamini....

    Mtani katka ubora wako....salute kwako.
Back
Top Bottom