Recent content by haranduvye

  1. H

    CHINA: Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa huru na wa haki, yaahidi kuendelea kutoa misaada

    MIMI nilifikiri sasa ni muda wa sisi kama taifa kujitegemea na kukataa misaada kumbe tuliyokataa ni ya wazungu wanaotutaka tusimamie demokrasia lakini tunaendelea kupokea ya wachota pembe za ndovu!!!! haya basi sawa
  2. H

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Mkuu leo unaiamini TAKUKURU?? si ni nyie mnalalamika kutwa kucha humu kuwa takukuru sio chombo huru?? Haya nenda basi karipoti wewe
  3. H

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Lissu ameongea kinafiki sana na kaoneaha chadema sio taasisi makini iweje katibu mkuu aandike barua ya kujiuzulu halafu miezi miwili baadae uje kutuambia chama kimemlipa mshahara? Kwa kazi gani? Lakini mbona hataki kujikita kwenye contents za alichosema slaa?? Mbona hajaongelea ile likizo...
  4. H

    Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Mkuu sasa mbona unajipiga dole halafu unanusa tena shangazi yangu!!!???!! Embu tafuta sehemu iliyoandikwa na mtoa post kuwa ccm ni chama kizuri...hivi kwa akili ulizorithishwa na hawara wa dada yako unajua kuwa vyama vinane mpaka sasa vimesimamisha wagombea urais???!! Siku nyingine usitawaze...
  5. H

    Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Ha ha ha ha mkuu umenikosha na hilo jibu...na kwa kuongozea tu mwambie mbowe shut up kama tulivofundishwa na kamanda mamvi
  6. H

    Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Ushahidi kama huu wa shaban mambo kuwa nape?
  7. H

    Siasa za siasa: Kafulila ni kichwa jamani

    Si ndio huyu kafulila aliyefukuzwa chadema kwa tuhuma lukuki? ama ni kafulila mungine... Ama kweli nchi bila unafiki haiendi
  8. H

    Serikali haitaki kuniandika kwenye BVR?

    Aisee hao jamaa wanapiga kazi sana...yani wanakuhudumia tangu saa tisa alfajiri!!!! tuwe na shukurani jaman yani mtu saa tisa yupo kituoni kugawa namba... hongereni tume kutuletea wachapa kazi...ongezeni mashine
  9. H

    Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Wanajipa upofu wa makusudi...wakijikwaa watashtuka tu... kama CUF waliitwa majina anayoitwa zitto leo na bado wakaingia ukawa ndo itakua ACT chama kubwa!!
  10. H

    Sitta apangua tuhuma za Zitto

    ha ha ha ha ha Chadema leo wameamini na kuyakubali majibu ya Sitta akimtetea Rugemalira!!! Kweli chadema yamekua ma ccm C!!
  11. H

    Ndugu yangu Zitto Kabwe, hasira zako kwa CHADEMA zisisababishe kutuvurugia nchi yetu TANZANIA.

    Ndo mana nasemaga chadema ni CCM C, sasa eti leo wanatetea madudu wa serekali ya ccm...mmmh mungu mpe maisha marefu zitto mkombozi wa taifa hili
  12. H

    Wana CHADEMA, UKAWA; Tusiwe 'Makatibu Wenezi' wa Zitto na ACT yake!

    Chedema ni CCM C baada ya kuungana na CUF waliokua mashoga na ccm B... kwanza nyie ukawa si ndo mnaunda serekali ya umoja na ccm kule Zanzibar???!! fools
  13. H

    ACT-Wazalendo njama za kuharibu mikutano yao Singida

    labda wacha tuwarahisishie tu YES ACT inapambana na chadema, so what? chadema inapaambana na nani? ni lini chadema iliwahi kuipigia kampeni CUF au NCCR si hawa chadema waliokataa kuunda kambi ya pamoja ya upinzani bungeni na CUF na NCCR? hivi leo imeiasha miaka mitano na tunaelekea uchaguzi ndo...
  14. H

    Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    yani watanzania sisi ni watu wajinga sana, nashangaa huu uzi unawachangiaji lukuki ambao wanajaj bila kwenye habari ambayo haina nukuu povu linawatoka watu kwa story ya kidaku...mnaendekeza mapenzi ya kisiasa kwa ujinga, eti leo mtu anahoji halima hana kampuni ya ujenzi wakati huo jana pia...
  15. H

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Muite tu msaliti....kwani kuita kunashida gani!!!! tumeanza kuzoea huo msamiati..tunajua fika chadema ni CCM C
Back
Top Bottom