Recent content by Hapulo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Eeh, hapo ndipo penye hapo, maana tayari zilishafutwa , ila sasa zinatafutwa ili iweje ? Bila shaka Pana Giza Nene sana limesukwa kimsuko na wababe wa misuko na misukosuko, aah , nchi yangu jamani !
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bunge halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Wabunge wale ni tafrani tupu ili kufuja pesa za nchi hii. Ni Aibu na uharibifu wa pesa kwa kweli kabisa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Yondo Sister: Malkia wa soukous

    Aah, yaani kwa kweli uzee bwana , daaah, mmmh, taabu tupu !
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao

    Mmmh, "Pombe haina Deni" labda ndiyo hizi PhD tele tele bwerere. !
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Ahahaha, aah , nimecheka kweli looh, " soko la sumu" duuh !
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kawaida kulala na mdada chumba kimoja na msifanye mapenzi?

    Eti kwa kweli, kabinti ni kastaarabu kanamlinda asife ghafla ghafla , aiseeh !
  7. H

    JamiiForums Tanzania Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

    Wameilamba pesa wame umbeya tu huo !
  8. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali na watumishi acheni kauli chafu , teknolojia imekuwa kubwa , unamtukana mtu kumbe anakurecord dakika sifuri hauna kazi .

    Ni kweli na twapaswa kutoka huduma njema na ni kwa kuwa MUNGU alitujalia kuajiriwa . Asante.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Mizani Vigwaza rushwa haiombwi hivyo!

    Mama awe mkali walau maana pengi pamebomokaa iiih !
Back
Top Bottom