Recent content by HAPPY MAKUKU

  1. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    wewe naona umedandia treni kwa mbele, hujui hata ni mada gani iliyopo mezani. kama unataka malumbano ya kidini watafute kina mazinge kwenye bible wakuambie vizuri naamini utaelewa tu.
  2. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Hongereni nyie wenye elimu kuuuuuuuuuubwa lkn iliyotawaliwa na roho mbaya ya umimi.
  3. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Endeleeni kuponda raha nyie wenye education za kugandamiza wenzenu.
  4. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    labda wanamfumo walikuwa hawajamfikishia, kwani sinimekwambia watendaji wako ndo wanaoziba lkn sidhani ile kauli kama atarudia tena kuitoa.
  5. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Fursa waislam wanachangamkia sana ila tatizo hawa maaskofu ndo wamekuwa mstari wa mbele kupinga kwa matamko mbalix2 tena ya vitisho, ambayo ndo yametufikisha hapa tulipo hadi tunakosa kuaminiana na kuvumiliana. unapoongelea mou ya wakristo, mnaona ni haki, lkn tunapoongelea mou ya waislam...
  6. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Ndo nimeshasema mimi mapovu ya nini, sasa serikali ni wewe mwenyewe usisubiri mpaka kiongozi wa nchi aongee.
  7. H

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Kwanza kabisa hata hili tamko la maaskofu nalo limekaa kichokozi kwa sababu unaposema uongozi wa juu wa sasa wakati msingi uliotufikisha hapa ni kandamizi bado unaficha ukweli sababu, Nyerere amekaa madarakani miaka 24 na ktkt nafasi zote nyeti alihakikisha wanashika wakatoliki ili kugandamiza...
  8. H

    Sector ya usafiri wa anga inaelekea kuzimu kwa wawekezaji wa ndani ikiwema ATC

    Nina maswali kwa mwakyembe Je? wakati tunachota kodi za wananchi kuhakikisha shirika la ndege la Taifa ATC linasimama huku tukiruhusu wawekezaji wa ndani kwa kukosa uzalendo, hivi tuna makusudi ya kuendeleza taifa au kulididimiza taifa? kwa sababu juhudi zote zinazofanywa zinaonekana kiini macho...
  9. H

    Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

    waislamu wanaamini kama haki hakuna basi kufa ni bora zaidi. Na vitisho havisaidii kitu. Issue ni kutenda haki sawa na kukomesha uonevu makazini, mashuleni, na hata mavyuoni.
  10. H

    Ndoa ndoano: Nilienda Kumzika Ibilisi Wangu

    emedichi pOLE SANA KAKA, NAAMINI MUNGU ALITAFUTA NAMNA NZURI YA KUKUJULISHA UFIRAUNI HUU, LAITI UNGEJUA YUPO HAI PENGINE UNGEKUWA MAGEREZA KWA KESI YA MAUAJI. TAKE IT EASY, NA MUNGU AKUPE MWANAMKE MWEMA ATAKAYEZIBA PENGO NA KUSAHAU MASAHIBU HAYA.
  11. H

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    unatakiwa ufute mawazo ya kingono kichwani mwako, halafu ukisikia kupigwa mti nenda kwa mchumba wako akusugue hadi hamu ipungue then huo msisimuko utaisha, au huyo mchumba wako naye hakufikishi?
  12. H

    Natafuta tiba

    inavyoonyesha huyo bint ana jini limemwingia, na tabia ya majini ni kuchezea watu ili kuwapoteza kiimani na uweze kutii sheria zake na masharti yake, nakushauri kwa ujumla ninyi wanafamilia mutafute viongozi wa kiroho walio safi sio wale nusux2 na wadumu ktk kumuombea, na huyo binti mumujenge...
  13. H

    Nafasi za kazi TRA

    tHANKS FOR UPDATES
  14. H

    Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

    jambo AMBALO HULIJUI NI KAMA GIZA, KWA HIYO NYAMAZA TU KWA SABABU HUJUI. MAANA HUWEZI HATA KUJIULIZA KWAMBA WAISLAMU MIAKA YOTE WALIKAA KIMYA UNAFIKIRI WALIKUWA WAJINGA? HAPANA NI KWA SABABU WAMEKUWA WASTAARABU NA USTAARABU WAO NDO UNAOFANYA WAENDELEE KUNYANYASWA NDANI YA NCHI YAO.
Back
Top Bottom