........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

Mhmh wewe acha kutuzingua bana.....huyo mchumba uliekuwa nae si yule mmasai wako uliyemsifia anakukuna vizuri....Toka ujiunge humu Jf January 2011 unajisifia tu una mchumba una mchumba...ni uchumba gani mnakaaa miaka 3 au 5? wakati mtu umri wako umeshakwenda saa 12 jioni huko!

Wewe gawa tu huo mzigo kwa kila mtu maana inaonekana ndio kawaida yako...na kwa jinsi ninavyokuona siku hizi hapa ofisini mhmhm umekuwa hutuliii kabisaa kujishaua shaua....kumbe huyu jamaa ndio anakuzingua...ok ngoja nimwelekeze namna ya kukupata kiurahisi maana si unajua kuwa mimi nazijua weakness zako!

wait you will see its impact soon baada ya jamaa kula mzigo...!
 
Duuu! Bob umenikumbusha tukio la long timez ....... kipindi hicho nilikuwa na mdada flani ambaye aliachana na mpenzi wake baada ya kumfumania na demu mwingine.....tukaanza urafiki wa kimapenzi one day to my supprise aliniaga anakwenda club na marafiki zake but huko akakutana na huyo x wake baada ya hapo wakaenda lala wote.kesho yake mchizi wangu flani akaniambia jana kamuona shemeji club na jamaa. nilipombana demu kaniambia amekutana naye club akashindwa kujizuia xo anaomba msamaha cuz kafanya nae mara moja tuuu na hatarudia tena.....
 
anza kuwa rafiki nae kwanza....unaweza kuta sio wa hivyo unavyomdhania......ila kama ndio hivyo yupo.....why not bana....you live only once you know.......:wave:
Preta mambo...life is too short hebu do ze nidiful aisee....you live only once
 
Last edited by a moderator:
yaani ungejua unavyonimix.......
hivi ni kwa nini uinyime raha nafsi yako......?
Preta dada yangu kuwa mkweli tu, jaribu kugeuza upande wa pili wa shilingi, fikiri wewe ni mke wangu halafu unasikia naibanjua amri ya sita na msichana jirani yetu yule mrembo sana, uliponiuliza nakujibu jibu kama hili eti roho imependa, siwezi kujinyima raha.
Wewe ungejisikiaje?
 
I know......nakuelewa.....but kuhama sio solution kwa sababu utatamani hata siku moja ukutane nae......we kuwa rafiki wake......kwani nini bana.....hata ukinanihiii......

kwel bana ajilie zake kwann kuinyima nafsi? Kama vp kamata mchuma mengine baadaye ingekuwa miye sijivungi bibie Preta mzima weye.....
 
Last edited by a moderator:
Preta dada yangu kuwa mkweli tu, jaribu kugeuza upande wa pili wa shilingi, fikiri wewe ni mke wangu halafu unasikia naibanjua amri ya sita na msichana jirani yetu yule mrembo sana, uliponiuliza nakujibu jibu kama hili eti roho imependa, siwezi kujinyima raha.
Wewe ungejisikiaje?

kwani wewe utafanya mpaka nijue......?
 
pole sana mdogo wangu nakushauri usijaribu kumvulia nguo huyo unayemtamani, ifanye iwe kama ndoto, mheshimu jamaa yako inauma sana akigundua kuna mtu mwingine umemfanyiayale unayomfanyia mpz wako.
 
Kwakuwa wewe mwenyewe umejitambua huwezi kujizuia unapokuwa nae karibu basi jiepushe kuwa nae karibu hasa katika mazingira hatarishi.Pia nakushauri fuata moyo wako na si mihemko ya mwili wako la itakupeleka pabaya.
 
Duuu! Bob umenikumbusha tukio la long timez ....... kipindi hicho nilikuwa na mdada flani ambaye aliachana na mpenzi wake baada ya kumfumania na demu mwingine.....tukaanza urafiki wa kimapenzi one day to my supprise aliniaga anakwenda club na marafiki zake but huko akakutana na huyo x wake baada ya hapo wakaenda lala wote.kesho yake mchizi wangu flani akaniambia jana kamuona shemeji club na jamaa. nilipombana demu kaniambia amekutana naye club akashindwa kujizuia xo anaomba msamaha cuz kafanya nae mara moja tuuu na hatarudia tena.....
 
aiseeee babaangu hicho ni chuo gani mnachokutana kutana kila siku nasikia mlimani udsm waweza kukaa mwezi ujamwona ndugu yako wa kuzaliwa utakuwa unasoma globo wewe
 
moyo na akili vinaniambia nikae mbali sana na huyu mkaka, ila mwili mpaka rangi unabadilika kwani kila wakati unasisimuka napomkumbuka
unatakiwa ufute mawazo ya kingono kichwani mwako, halafu ukisikia kupigwa mti nenda kwa mchumba wako akusugue hadi hamu ipungue then huo msisimuko utaisha, au huyo mchumba wako naye hakufikishi?
 
hajanitamani jamani muelewe.....amesema amenimiss.....wanawake huwa kama umemmiss shogako huwa unaenda kwake kulala kabisa ili muongee yote yalojiri.......

nina furaha wewe umenielewa wao hawajatuelewa
wanadhan tumejuana leo au jana waambie hatujakutana barabarani
 
I know......nakuelewa.....but kuhama sio solution kwa sababu utatamani hata siku moja ukutane nae......we kuwa rafiki wake......kwani nini bana.....hata ukinanihiii......
...haya bwana..
 
Poole wewee poleee!!!Najiridhisha kuwa wewe siyo wife material.Kama unaniasi hata kabla ya pingu za maisha.Je ukiwa ndani ya ndoa itakuwajee.Huuuuuuuuuuufai tena nasema hufai,Itika kilichoko moyoni mwako.Mwisho wa siku utajuta kwann ulikuwa mwanamke..................:shut-mouth:
Pamoja na kwamba siyo lazima niwe nakubaliana na kila alichosema Martina, sikubaliani na ulichosema wewe ndugu hapo juu.
Wife material maana yake nini? Je ni mwanamke asiyethubutu kuweka wazi ukweli wa kilicho moyoni mwake?Hivi mnadhani alichothubutu kukisema Marytina ni kitu cha ajabu ambacho hakimo kwa hao wife material mnaodhania?Kama wanaume mna matamanio, nani alikudanganya kuwa wanawake hawana matamanio? Kutamani ni kitu kingine na kufanyia "kweli" matamanio ni kitu kingine.Pia WIFEY MATERIAL IS A PHALLASY!
 
nchauri akili na mwili vinavurugana
mbona nshatoa shosti, we kama vp kamata mzigo ila iwe one nite stand then unampotezea coz uko curious kujua hyo package ya nje inareflect inside, so piga mambo then utapata jibu huenda ukawa disappointed au ukala bingo!
 
shosti!!!!!
unazidi kunichanganya kwani staki kwa akili na moyo wangu kulala naye ila mwili unatamani sana.
je akili haitanihukumu nikishalala naye???

mwili hadi ngozi na rangi vimefubaa kisa hamu ya kumlala huyu kaka sasa hapo sjui which is which???????????????????
 
Back
Top Bottom