Recent content by happy lady

  1. H

    Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

    nyie hpa bishaneni mara ya demu wake or ya frank mwisho wa cku yy ndiyo ajuaye ukweli nyie mtaishia kurukaruka hmu yy saizi anakula zake bta huko hta wacwac hana hya kazi kwenu
  2. H

    Jamani mi nina ugonjwa wa kupenda mwanamke mwenye hips

    kwa hyo yeyote mwenye hips we unampenda ww hta ukioa mke wa dizain hyo bdo utatamani vya nje
  3. H

    Jamani mi nina ugonjwa wa kupenda mwanamke mwenye hips

    Chakushukuru zaidi ni kwamba saizi wapo wengi c unajua mchina yupo kazin so ucjari
  4. H

    Bonge la live show: Usikose Dar Live leo jioni

    Hata ww mpuuzi coz umeongea upuuzi aliyekwambia mzee ngurumo alimpigia magoti dom kwa ajiri ampe zawadi ya gari nani?
  5. H

    Moving on after heartbreak

    Hongera bwana kwa kuzijua vzuri lugha za watu maana mm majanga huwa naibia tu humu jukwaani
  6. H

    Moving on after heartbreak

    Pole saana my mda mwingine mtu huoa au kuolewa na mtu ambaye c chaguo lake lkn mwisho wa cku huzoea nakupenda pia inawezekana ww ulimchagua yy awe husb to be wako lkn yy hakukuchagua cha mcngi mama omba saana kwa mungu akupe mume mwema naiman furaha yako itarejea best of lucky
  7. H

    Hivi ni kwanini mabinti wa hapa MMU hamuolewi?

    Unajuaje kuwa wote hatupo kwenye ndoa?
  8. H

    Majibu ya uchunguzi wangu kwa wanaume wa JF

    Alafu c kila atakaye ku pm anataka mapenzi jaman mbona unatuweka pabaya ndada mwenzetu
  9. H

    Ni kwanini mwanamke akiitwa na mwanaume akikataa hushambuliwa kwa matusi?

    Kuna uitaji wa kiheshima kweli unaweza mtu ukamckila kwa sababu c unapoitwa na kila mwanaume bac atataka kukutongoza wengine labda wanata kukuuliza tu sasa bac kuna uitaji ule wa kiuni utaitika kweli wito?
  10. H

    Ni kwanini mwanamke akiitwa na mwanaume akikataa hushambuliwa kwa matusi?

    Ngoja niwaambieni kitu kuna uitaji wa heshima jaman cyo ule wa dharau unakuta amekaa na wenzie anaanza kutaja majina ya ajabu ajabu sasa hpo mtu utaika kweli wito?
  11. H

    Ni kwanini mwanamke akiitwa na mwanaume akikataa hushambuliwa kwa matusi?

    Imenitokea mala kibao tu twna kwenye umati wa watu hata cjui huwa wanawaza nn
  12. H

    Ni kwanini mwanamke akiitwa na mwanaume akikataa hushambuliwa kwa matusi?

    Habari za asubuhi Jamani hii tabii ya wanaume kuwatukana wanawake itaisha lini utakuta mwanaume mzima na akili zake anamtukana mwanamke kisa tu amekataa kumsikiliza kwa stahili hii mtaishia kuona tu. NB: Ni baadhi ya wanaume siyo wote
  13. H

    Ifahamu Ndele, dawa ya kumpata msichana bila kumtongoza

    Kumbe barmaid nilifikili mtu wa maana j
Back
Top Bottom