Ifahamu Ndele, dawa ya kumpata msichana bila kumtongoza

Ifahamu Ndele, dawa ya kumpata msichana bila kumtongoza

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Nilikuwa naisiki tu, kwamba hii dawa ya mitishamba maarufu kwa jina la "Ndele" inakuwezesha kumpata msichana bila kumtongoza.Baada ya mshikaji wangu ambaye pia ni jirani yangu kuwa anawalamba wasichana wapya wakali kila wakati, ilibidi nihoji anafanyaje fanyaje.

Kumbe jamaa ana hicho kidawa, kwanza anakua nacho mfukoni, akimtaka msichana anakiminya kikiwa mfukoni halafu anazungumza kimyakimya maneno haya, "tangulia nakuja."

Msichana ni kama anapumbazika hivi, na utakachomwambia hachomoi.Nilimbishia akaniambia twende bar fulani hapa mtaani kwetu anionyeshe inavyofanya kazi, kaondoka na barmaid muda si mrefu. Barmaid kamuachia mwenzake upande wake wa kuhudumia wateja kaenda kumburudisha mwana!

Sijui na mimi niitafute.
 
Karne ya mwisho kabla expire date yako haijafika,badala ya kugundua walau kilichomtoa kuku manyoya kwa kuwa uvumbuzi wa kisayansi hatukujaaliwa wewe unagundua dawa za kutongozea.....haya weka price tag peleka kwenye maduka ya madawa!
 
Mmmmmmmm hujuelewi ndio maan post yako haina mshiko
 
Umeanza Na Formula Nzuri Lakini Application Yake Imenivunja Nguvu.Sina Hata Hamu Nayo.
 
Back
Top Bottom