Recent content by happy aivan

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Geita

    Mimi ni mama wa familia Nina watoto wawili nimeolewa natafuta kazi yoyote ila nipo GEITA mjini Nina miaka29 nisaidie tadhali mwenye connection namba yanu ni 0622575581 kwa ajili ya kazi tu elimu yangu form 4 kwa GEITA mjini itakuwa vizuri maana na familia
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Kama Bado unampenda kupunguza kulalamika alafu kuwa bize ,kingne usiombe tendo la ndoa jifanye huna mda nae ila muheshimu fanyie Kila kitu anapasa kufanya mwanamke ila usishoboke nae mwenywe utaona majibu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mgeni wenu

    Asante mkuu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mgeni wenu

    Sawa mkuu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa leo Dar

    Uko vizur mkuu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Kukupa nakupa ila kwanza uwe moyoni ndio nakupa lasivyo mi sikupi kabisa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuachia namba unitafute halafu unanitafuta tunachati unaniambia una mtu wako

    Itakuwa hakuelewa swaga zako
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Nikweli lakni sio wote ni omba omba kuna wanawake tunajielewa mfano kama ninatabia ya kutoomba kabisa pesa labda ujiongeze lakni pia kama hujiongez nakupiga chini lakni sikuombi kwaiyo wapo pia wengne kama mim
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Jamani mimi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale waonauza k sababu anajua yupo kazini lakini kwa wa kawaida sio poa. Kwanini msiwe kama wenzetu huko...
  10. H

    JamiiForums Tanzania China na harakati za kuongeza Watoto wanaozaliwa, Kampuni yatangaza kuwalipa Wafanyakazi Mil 16 kwa kila Mtoto watakayemzaa

    Ni kweli maaana wakileta huku hata mimi ndani ya miaka mitano nitakuwa nao was nne
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kumjua mke wa Gentamycine nione uvumilivu alio nao

    Mi nasoma comments
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni mgeni wenu

    Asante
Back
Top Bottom