Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

happy aivan

Member
Jun 21, 2023
39
89
Jamani mimi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale waonauza k sababu anajua yupo kazini lakini kwa wa kawaida sio poa.

Kwanini msiwe kama wenzetu huko mbele mnakaa hata miezi badilikeni. Unachukua namba kwa demu ukipiga simu tu eti unamwambia unatamani kumkisi mda huo huo duuh jamn ndio maana madem wengi jua linazama wakiwa kwao hata nyie wanaume mnasababisha.
 
Jamani mi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale waonauza k sababu anajua yupo kazn lakn kwa wa kawaida sio poa
Kwanin msiwe kama wenzetu huko mbele mnakaa hata miezi badilikeni . Unachukua namba kwa demu ukipiga simu tu eti unamwambia unatamani kumkisi mda huo huo duuh jamn ndio maana madem wengi jua linazama wakiwa kwao hata nyie wanaume mnasababisha
Na nyie mnachukua miezi mingapi kuanza kuwa wakoma(ombaomba)...? Maana mwanamke wa kibongo akitongozwa siku anayokubali ndio kwenye kitabu chake anaandika kama ndio siku ameanza ajira...!! Samahani lakini mtoa mada kwa shambulio
 
Jamani mi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale waonauza k sababu anajua yupo kazn lakn kwa wa kawaida sio poa
Kwanin msiwe kama wenzetu huko mbele mnakaa hata miezi badilikeni . Unachukua namba kwa demu ukipiga simu tu eti unamwambia unatamani kumkisi mda huo huo duuh jamn ndio maana madem wengi jua linazama wakiwa kwao hata nyie wanaume mnasababisha
Mambo ya mwaka 47 sio ya karne hii. Muda ni mali. Unifikirie mwezi mzima kwani ni ajira unanipa hiyo? Kama huwezi kutoa gemu siku hiyo hiyo kaa na k yako; wapo wenzio wanaisubiri chance hiyo!!
 
Aiseee, wamekuomba siku hiyo hiyo???

8AD6C2E1-D5C9-40C7-83F9-341491CFD05C.jpeg
 
Mambo nimengi muda mchache .
Wiki kama moja iliopita nimemuelewa slay queen mmoja hivi wa mjini kati nikampa hi akaitikia nikamwambia ukovizur nimekuelewa aka tabasamu skutaka kuongea sana nikamuomba namba akataka kusita ila akaniomba simu nikampa akaandika namba nikasave siku ikapita sikumcheki kesho yake nikamcheki asubuh nikamwambia Nimekumic kukuona njoo home bas bila kusita Mrembo akasema ntakuja jion saa 12.(kiutani)
Imefika saa 12 jion kimya nikajua hapa Hamna kitu nikakausha imefika saa 2 usiku naona text inaingia nipo mitaa ya home kwako sema spajua nilimueleza nakaa sehemu frani sikuamini nikatoka kumfata kweli nikamkuta nikamchukua mbaka home nikamuandalia msosi wanguvu kala tumestay mbaka saa 4 mtoto nika mjalibu leo siunalala kwangu kimasiara mtoto akajibu yeah powa usjali ntaondoka kesho kimoyo moyo nikasema umekwisha maana sikuamini kinachotokea kweli alilala nilimzagamua night balaa asubuh kumekucha fresh aliondoka mida ya saa nne alivonipa taarifa kuwa amefika home hapoapo nikamlamba block ya maana mbaka leo Naendelea na mitikasi yangu kama hakijatokea kitu nahis yeye mwenyew haamini kilichotokea.
Mtoa mada nikwambie tu wewe kama unanipa nipe habar za kukaa miezi miwili hayo mambo ya kiwaki sio unyama wala nini skuiz tupo katika dunia ilioendelea mambo ni fasta fasta yanini kupotezeana muda nakutongoza leo tupeane leo au kesho bas kila mtu aendelee na michakato yake ya maisha
 
Jamani mi nachoka na hawa wanaume anakutongoza asubui jioni anapiga simu anakuhitaji jamani Yani hata kumfikilia tu unakuwa bado eti anataka tunda jamani haya Mambo ni hisia labda kwa wale waonauza k sababu anajua yupo kazn lakn kwa wa kawaida sio poa
Kwanin msiwe kama wenzetu huko mbele mnakaa hata miezi badilikeni . Unachukua namba kwa demu ukipiga simu tu eti unamwambia unatamani kumkisi mda huo huo duuh jamn ndio maana madem wengi jua linazama wakiwa kwao hata nyie wanaume mnasababisha
vijana huchukua namba kwaajili ya hiyo kitu hapo kati, mengine huwa ni ziada. Mwanaume Kamili hawezi subir mwezi mzima labda mwenye matatizo. Kanuni ya hiyo kitu ni huombwa mara tu baada ya kukutana na kubadilishana namba za cm. Hainaga kusubiri jioni, kuna mambo mengi hutokea hapa katikati,yo never know
 
Back
Top Bottom