Aisee pole sana, huyo mkeo ni utafikiri hajaingia leba?. Cha kufanya mpeleke huyo mtoto shule ya boarding awe anarudi likizo tu, na then mwambie atoe ndugu zake ajue pa kuwapeleka pia, iwe pasu kwa pasu. Mke usimuache , utaacha wanapi?, Mana Kila binadamu ana mapungufu yake, unaweza kutana na...